The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Umoja wa kimataifa, UN imepitisha azimio lililopigwa na nchi za Marekani na Umoja wa ulaya la kuzuia uchochezi na ubaguzi wa kidini hasa uchomaji wa Quran.
Azimio hilo limekuja baada ya mwezi uliopita raia wa Iraq kuchoma Quran nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm Sweden na kuchomea maandamano katika nchi za Kiislamu.
Marekani na Umoja wa Ulaya wanasema azimio hilo linaenda kinyume na mtazamo wao wa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Hivi karibuni nchi za kiislamu OIC zilipitisha makubaliano ya kutumia kila namna kuzuia uchomaji wa Quran kwa kutumia jumuia ya kimataifa.
Baada ya makubaliano hayo, nchi hizo zimepeleka mapendekezo kwa tume ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa kupitisha azimio la kuzuia uchomaji wa Quran azimio ambalo limepigwa na Marekani, Uingereza na umoja wa ulaya.