Muwe mnafanya due deligence na mnavoandika, umeweka GDP ya miaka 3 tena miaka ya 90 alafu ndio unataka kuja kutetea Hoja
View attachment 2870789
Hii ni chart kutoka IMF, mwaka 1990 Yemen kusini na kaskazini ziliungana GDP yao ikakua sababu ilikuwa kipindi chao cha amani, lakini kuanzia hapo kila mwaka ukuwaji wao wa uchumi ukawa unaanguka tu kuanzia mwaka 1996 hawajawahi kuizidi Tanzania GDP hadi leo na wazidi kuwa maskini kwa ujinga wao, vita ya sasa ya Yemen inamiaka zaidi ya 10, ukiangalia Data zao unaona kabisa shida zao kiuchumi zimekuwepo tu siku zote