Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Labda usichokielewa kuhusu Yemeni, hao ndiyo mashujaa pekee wa Kiarabu waliobaki duniani. Wametapakaa dunia nzima, na wakisema hawapandishi maneno.

Hutomsikia Bakhressa akisema moja halafu akafanya lingine.

Hao ni mfano bora kabisa wa Wislam wanavyotakiwa wawe.

Hao Uturuki hata mimi siwaamini, ni wanafik sana, lakini Wayemeni, nawavulia kofia.
Kama hawajui wa Yemen ndio mzee eza wa azania group na wanae wanaomiliki azania group, lake oil, na takataka zingine tunazokula kila siku na hawanaga maneno, na wanaofanya wasumbue nchi za watu ni hao wayemen wanaopigana kila siku muulize myemen au mwarabu famialia ya houthi inavyoheshimika kwa pesa na utajiri.
 
Haya hongera sana kwa kuwajuwa.+

sasa waulize ni nini maana ya "gabil" na nini maana ya "jaeil"? Ulete jibu hapa. Bila kuja na majibu hayo basi bado hujawajuwa Wayemeni, unawasikia tu.
 
Meli gani, inaitwaje na video iko wapi. Maana mashambulizi ya Marekani hata video tumeona na Yemen wenyewe wamepiga yowe hadi kudai watalipa kisasi (kwenye ndoto).
Kwahio kumbe sio kweli mimi nilitaka kujua tu mzee toka kwako

Kisasi kitalipwa tu nisuala la muda tu yaaani

Iran walikamatiwa meli yao na Americant wakasema kama wtalipa kisasi

Meli ilikamatwa August mwaka jana kama sijakosea kisasi kimelipwa january 11 juzi hapa

Ila hata mie hilo la meli kupigwa 🤔😀🤔
 
Sawa. Mimi sikisii. Nina uhakika Marekani itatimiza malengo yake katika vita hii. Halafu kumbuka umbali kati ya Marekani na Yemen ni zaidi ya km 10,000.

Kule Marekani raia wala hata hawana habari kama nchi yao iko vitani na nchi gani vile?…. Lakini Yemen watu wanahaha kukwepa mizinga ya US. Kila M’Yemeni anaijua Marekani.
Vita sio nzuri vita ina hasara nyingi kuliko faida

Naungana nawewe kwamba kweli kule Americant maisha yanaendelea kama ilivyo kawaida ila yemen mambo hayaendi

Ila suala la kushinda vita hapo Americant asahau tukumbushane tu kwamba lengo sio tu kuua watu halaf basi kama afanyavyo israhell pale ghaza

Lengo ni mtiririko wa meli ukae sawa kama ulivyo awali hasa hasa zinazoingia na kutoka israhell

Marekani na Uingereza hawa hawa mwanzo walishindwa dhidi ya hawa hawa houthi wakakimbia mara hii wameenda tena

Mie naamini wamarekani watashindwa ama washashindwa kama walivyoshindwa awali

Mwanzo walikua wanaipiga yemen kutokea hapo saudia na wakashindwa kutoboa ila haya ngoja tuone
 
Si we subiri uone Red Sea kama watapitisha Meli kuelekea Israel na hizo Meli zao hao America, Uingereza, Canada, South Korea, Baharain, Australia na New Zealand kama zitapita hapo Red Sea
Hakuna meli itapita Red Sea kuelekea ama kutoka israhell watazamishwa tu yaani hakuna namna ama watatekwa mapema sanaaaaaaaa
 
Kwa kichapo walichotembeza Wayemeni juzi na jana kwa meli za Kimarekani na kituo cha kijasusi cha Uingereza, ningeshangaa wasingeshambuliwa.

Naona sasa Wamarekani na Waingereza wamewekwa wanapotakiwa, wasubiri na wao kudunguliwa meli zao.

Wayemeni Hawana historia ya kusalimu amri kabisa.
Link please
 
Vita sio nzuri vita ina hasara nyingi kuliko faida

Naungana nawewe kwamba kweli kule Americant maisha yanaendelea kama ilivyo kawaida ila yemen mambo hayaendi

Ila suala la kushinda vita hapo Americant asahau tukumbushane tu kwamba lengo sio tu kuua watu halaf basi kama afanyavyo israhell pale ghaza

Lengo ni mtiririko wa meli ukae sawa kama ulivyo awali hasa hasa zinazoingia na kutoka israhell

Marekani na Uingereza hawa hawa mwanzo walishindwa dhidi ya hawa hawa houthi wakakimbia mara hii wameenda tena

Mie naamini wamarekani watashindwa ama washashindwa kama walivyoshindwa awali

Mwanzo walikua wanaipiga yemen kutokea hapo saudia na wakashindwa kutoboa ila haya ngoja tuone
Muda huu maslahi Yao yameguswa moja kwa moja bila meli kupita hapo uchumi wa hizo nchi utayumba hivyo yyte atakayetatiza shughuli zao maeneo hayo ataguswa pabaya.
 
Watu wabaya sana hamsemi kwamba Houth wamechezea kichapo kingine Jana kutoka kwa US!!

Huko US waandamanaji kutoka mashariki ya kati washaanza kuandamana wakiwa na mabango yanayosomeka "Pray for Yemen"
 
We kila muislam ni gaidi ndio kanisani mnafunzwa hivyo 😄

America anajidai kukimbia Yemen na Yemen anamuambia mchezo kauwanzisha hapo Muddle East atapasahau tena.

Tulizaneni muone mwisho wa America, uingereza na Israel ndio umewadia.

Yemen huwa hashindwi vita hio history mtaikumbuka.
Usinene ukamaliza, hifadhi maneno tuone mwisho wa hii movie.
 
Usinene ukamaliza, hifadhi maneno tuone mwisho wa hii movie.
Yes should the end of the movie
nothing can be achieve by air campaign and they know that
And they know yemen is not a cake walk
have a nice day
god bless Mandela in heaven
 
US & UK kwa Yemen kayakanyaga, myemen akisikia sauti ya mtutu anakimbilia kama mzaramo anavyokimbilia ngoma au kigodoro, hao jamaa wanapenda kupigana kuliko jambo lolote unalolijua.
Kumbe!? Basi sawa...jitahidini tusione mabango ya kutia huruma.
 
Baab al mandib inapitisha 12% ya mizigo ya meli kidunia.
hiyo ni asilimia ndogo sana kuathiri uchumi wa dunia.
Inayoathirika ni Israel na Western nations labda pamoja na Misri.
Hivi unajua kwa kasi inayoenda nayo Yemen baada ya miaka miwili itaizidi Tanzania kiuchumi?
Kwahiyo kwasasa inazidiwa uchumi na Tanzania!? Aiseeee!
 
Back
Top Bottom