kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
Kama hawajui wa Yemen ndio mzee eza wa azania group na wanae wanaomiliki azania group, lake oil, na takataka zingine tunazokula kila siku na hawanaga maneno, na wanaofanya wasumbue nchi za watu ni hao wayemen wanaopigana kila siku muulize myemen au mwarabu famialia ya houthi inavyoheshimika kwa pesa na utajiri.Labda usichokielewa kuhusu Yemeni, hao ndiyo mashujaa pekee wa Kiarabu waliobaki duniani. Wametapakaa dunia nzima, na wakisema hawapandishi maneno.
Hutomsikia Bakhressa akisema moja halafu akafanya lingine.
Hao ni mfano bora kabisa wa Wislam wanavyotakiwa wawe.
Hao Uturuki hata mimi siwaamini, ni wanafik sana, lakini Wayemeni, nawavulia kofia.