Pamoja na kuungwa mkono na Russia na China, Iran haina uwezo wa kupambana na marekani na NATO hata kidogo. nadhani hilo lisitunyime usingizi hata kidogo kwani ikianza vita ndani ya miezi miwili tehran itakuwa ishatekwa. kwa sasa iran ina maadui wengi sana ikiwamo waarabu wenzake kama saudia, Bahrain na Quattar bila kusahau Kuwait hivyo vita itakuwa kama kumsukuma mlevi!
naona kuna watu wanataka ku-underestimate power ya marekani,nazani sababu kila siku wanaisikia kwenye vyombo vya habari,
kwa sasa ni nchi chache zinazoweza kumtisha usa,na usa kitu anachoogopa yeye ni kuwa attacked kwenye soil yake,ndio maana miaka ya 60 ndege kama north america Xb-70 Valkyrie hazikwenda kwenye mass production kwa kuwa tayari kulishakuwa na means mbadala ya ku deliver bombs,kwa wakati ule walikuwa wakiregard sana nukes,ndipo ICBM zikawa zimereplace longrange bombers.
nchi kama iran mambo inayofanya leo,marekani wameyafanya miaka 40 iliyopita,kamwe hawawezi kuwaweza usa
Urusi naye kama ni kupigana na usa,basi wangeshabigana kipindi cha coldwar,lakin kila mtu akawa muoga wa kufanya kufanya preemptive attack,kwa kuogopa uzito wa retaliation kutoka mwenzake-ila ussr alkuwa anajitoa kwenye game nyingi.
China naye na ussr wamekuwa waoga,china alishamwita ussr "toothless dragon" na relation yao ikayumba kidogo,baada ya kuona ussr anavyomgwaya usa,hii ilitokea baada ya usa kufanya blockage,(kipindi ya cuba missile crisis)ambayo kwa international law,hio ni act of war,lakini ussr wagajitoa baada ya politics kufanya kazi.
But bado russia,china na iran wanakazi ngumu ya kujipanga ili waweze kumsurpass USA kijeshi,ukitegemea USA ana batteries,missiles na military command kuzunguka maadui wake,na wao hawana-kazi wanayo