Marekani na ujanja wao kwenye world war 3

Marekani na ujanja wao kwenye world war 3

Wengine wakiwaza kutengeneza vitu kama hivyo kuna wengine wanawaza kujilipua....al shaabab bana

Wapuuzi wale, ndiyo maana walinyimwa akili wakapewa ubishi, visas,vurugu na ulalamishi. Siwapendi mimi.
 
wengine wanawaza kutengeneza pesa wakitumia mdomo wa YESU

Kwani wewe Al shabab? Pole kama umeguswa. Ukitaka kujua kichakani kuna nini basi wewe rushia jiwe! Nguruwe atatoka huyooooooooooooo! Mbio
 
Kwani wewe Al shabab? Pole kama umeguswa. Ukitaka kujua kichakani kuna nini basi wewe rushia jiwe! Nguruwe atatoka huyooooooooooooo! Mbio

Bwana Yesu alisema

Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na wakawararua."


Mbona nguruwe alishatoka bila kurusha jiwe??? Anakanyaga lulu mitaani . Mwenye macho haambiwi tazama

hii thread inahusu nini alshabaab???
 
Bwana Yesu alisema

Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na wakawararua."


Mbona nguruwe alishatoka bila kurusha jiwe??? Anakanyaga lulu mitaani . Mwenye macho haambiwi tazama

hii thread inahusu nini alshabaab
???
alshaabab ndio nguruwe
 
alshaabab ndio nguruwe

wakati wa Yesu ndio ilikuwapo alshabaaab???

NGURUWE NI NANI ???

Huku kutaja mbwa na nguruwe huweza kuwa ni maneno aliyoyachagua Mathayo kulipa nguvu wazo lake kuwa isifanywe juhudi kubwa kueneza mafunzo ya Yesu miongoni mwa Mataifa mengine.

Labda ni nadhari ya Mathayo kuwa ipo khatari kubwa ya hayo Mataifa kuudhika na juhudi za kutaka kuwafanya wakristo na kwa hivyo wakawatesa Wakristo; itakuwa ndio 'watageuka na kuwararua'.

Na hayo kwa hakika waliwahi kuyafanya. Yaweza kuwa aliona kuwa yale Mataifa yaliyoukubali Ukristo bila ya kuijua Sharia ya Musa yangeweza kuyavuruga mafunzo ya Yesu: 'na kuyakanyaga chini ya miguu yao.'"

Na juu ya kauli ya Yesu : "Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa," Asimov anasema:


"Hapa Mathayo kwa uwazi anatuletea Yesu ambaye kazi yake ni ndani ya mipaka ya uwananchi wa Kiyahudi tu."


Tukiendelea na isemavyo Biblia juu ya ujumbe wa Yesu, tunapata ushahidi zaidi kutokana na Injili ya Mathayo:



Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mathayo 10.5-6

Hao Thenashara ni wanafunzi wake kumi na mbili aliowateua mwenyewe Yesu kutangaza mafunzo yake.

Hapo anawapa amri zilizo wazi kuwa wasiwaendee watu wa Mataifa, yaani wasiokuwa Waisraili.

Hao wanafunzi kumi na mbili ndio wanaoitwa katika Biblia "mitume" kwa kuwa walitumwa na Yesu. Na wao kama yeye mwenyewe hawakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa Israel" kwani "si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."

Kwa nini Yesu alisema maneno kama haya ya kukataa na kukataza kuwafunza dini ila Waisraili tu?

Kwa nini alitumia mifano mibaya kama hivyo "mbwa" na "nguruwe" kwa kuwakusudia hao watu wengine wasio Mayahudi, yaani ndio mimi na wewe mwenzangu?

Wataalamu wa Kikristo na wasio Wakristo wamestaajabishwa na maneno hayo.

Ni maneno machache katika aliyoyasema Yesu ambayo yamewatatiza wasomaji Wakristo kuliko maneno haya.

Wapo wanaoona kuwa Yesu alitumia matusi yale kuwaita wote wasio Mayahudi kufuata mwenendo wa Kiyahudi, yaani ndio hivyo Mayahudi wawaonavyo binaadamu wote wasio kuwa wao.

Na wapo wasemao kuwa Yesu akipenda kufunza kwa mifano, na hivyo anafananisha kama kwamba yeye anaamini hiyo imani mbovu ya Kiyahudi ya kudharau watu wasiokuwa kabila yao.

Na wapo wengine kama Asimov ambao wanaona maneno yale ni ya Mathayo, na yeye Mathayo (au ye yote yule aliyeandika Injili hiyo) kamuambatisha nayo Yesu maneno hayo, kwa kuwa yeye mwandishi alikuwa Mkristo wa kabila la Kiyahudi na anacho kiburi cha Kiyahudi.

Ama kusema kuwa hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Israeli inaonekana kama kilivyosema kitabu cha The Interpreter's Bible kuwa Yesu hakika kwanza aliamini kuwa alitumwa kwa Waisraili tu.

Ni jambo la kustaajabisha kuwa Mungu au Mwana wa Mungu aje duniani atumwe na kwanza asiujue utumwa wake ila aamini tu kuwa katumwa kwa watu wake wa Kiyahudi basi.

Na kama yeye ni Mungu au Mwana wa Mungu, katumwa na nani?

Kama katumwa na Mungu, basi yeye si Mungu.

Si hilo tu, bali hata akiwa ni Nabii na Mtume wa Mungu tunamtaraji aujue tangu mwanzo huo ujumbe wake aliokuja nao, asiwe kutapatapa, kupapasa, na kuhangaika katika jambo la msingi.
 
Huwezi kutawala dunia kama huna nguvu ya kiuchumi. Marekani kwa sasa, anagalau kwenye makaratasi, ni nchi inayoongoza kiuchumi duniani lakini kwa hali halisi China ndio kijogoo. Wamarekani sasa hivi wanaishi kwa nguvu ya chupa ya oksijeni kutoka China. Wamarekani wanaishi juu ya uwezo wao wa kiuchumi kwa kutumia credit cards ambazo zinakuwa finance na hela za Wachina (Government Bonds)! Wameshindwa kabisa kudhibiti nguvu ya kiuchumi ya China wamebaki kulalama kwamba China inapiga ngumi sehemu nyeti ili kupata ushindi (Yuen undervaluing). Wamarekani sasa hivi wengi wao wamebaki kuwa wasanii kwa sababu hawataki kufanya kazi chini ya malipo ya unyonyaji waliyoyazoea wakati Wachina wako tayari kufanya kazi hizo hizo kwa bei ya chini kwa manufaa ya dunia nzima. Employment Marekani inazidi kudidimia siku hadi siku kwani Wamarekani wanataka kulipwa malipo makubwa wakati uwezo wao wa kuzalisha kiufanisi unazidi kushuka siku hadi siku kadri mataifa mengine kama China yanavyokuja juu kwa kuwa na wananchi wasomi ambao wanafahamu kwamba makuu hayaji kwa ubabe bali kwa kufanya kazi itakayokulipa halali ili uweze kujikwamua kutoka kwenye umasikini. Baada ya kushindwa kwenye mashindano ya kiuchumi ya uzalishaji, sasa Obama amesaini kuruhusu Wamarekani kutengeneza pesa kwa kutumia kamari ambayo haizalishi bali inahamisha hela kutoka kwa wazalishaji wenye doto ya kupata utajiri wa haraka kwenda kwa watu ambao si wazalishaji bali wasanii wa kuwaibia wenzao wahangaikaji. Bila shaka Marekani iko njiani kupoteza nafasi yake kama kinara duniani na kama unavojua punda hawezi kukubali kufa bila ya kupiga teke la mwsho na hilo pengine ndo litakalozalisha WW3. Lakini WW3 kama itaibuka basi haitasababishwa na mapambano dhidi ya Iran. Itakuwa ni mapambano dhidi ya China.
 
Pamoja na kuungwa mkono na Russia na China, Iran haina uwezo wa kupambana na marekani na NATO hata kidogo. nadhani hilo lisitunyime usingizi hata kidogo kwani ikianza vita ndani ya miezi miwili tehran itakuwa ishatekwa. kwa sasa iran ina maadui wengi sana ikiwamo waarabu wenzake kama saudia, Bahrain na Quattar bila kusahau Kuwait hivyo vita itakuwa kama kumsukuma mlevi!
 
Hizo ni propaganda za USA ambazo kwenye masikio na macho ya nchi kama China,Russia,India,Korea,Iran na Brazil wanawaona USA kama mfa maji haachi kutapatapa.Marekani ameshakwisha siku mingi sana anasubiri kuziikwa .Wanaoamini propaganda zake ni nchi za dunia ya tatu tena zilizo taabani kwa kutegemea misaada hewa kutoka kwao.

Kitabu chenye reference kuwa marekani ni super power kwa miongo hii inayoanza na 2010 kishachomwa na hajulikani nani alikiandika.Madeni waliyonayo yanawatafuna taratibu so wanahaha.Wenzao wanachota akili za vilaza wa dunia ya tatu kwa kutumia njia mbadala zinazoendana na karne hii wao wamebaki na kudanganya kupitia moviez za James Bond.

Fanyeni uchunguzi ni kwa kiasi gani nchi za kiafrika zinaushirikiano na nchi za China na India sio kwa propaganda za misaada bali kwa maisha ya kawaida ukianzia na biashara.Hapo ndio utajua baada ya miaka 20 ijayo mambo yatakuwaje kuanzia 2010.
 
Marekani hawana ujanja. Hawawkushunda World War 3. Haiwezekani kulinda Marekani,kwa sababu kama ukipiga mabomu North American continent,the axis of the earth will tilt,and then water will change the direction of flow;it will form the great lakes in Canada,and it will flood the central United States.
 
Pamoja na kuungwa mkono na Russia na China, Iran haina uwezo wa kupambana na marekani na NATO hata kidogo. nadhani hilo lisitunyime usingizi hata kidogo kwani ikianza vita ndani ya miezi miwili tehran itakuwa ishatekwa. kwa sasa iran ina maadui wengi sana ikiwamo waarabu wenzake kama saudia, Bahrain na Quattar bila kusahau Kuwait hivyo vita itakuwa kama kumsukuma mlevi!

naona kuna watu wanataka ku-underestimate power ya marekani,nazani sababu kila siku wanaisikia kwenye vyombo vya habari,
kwa sasa ni nchi chache zinazoweza kumtisha usa,na usa kitu anachoogopa yeye ni kuwa attacked kwenye soil yake,ndio maana miaka ya 60 ndege kama north america Xb-70 Valkyrie hazikwenda kwenye mass production kwa kuwa tayari kulishakuwa na means mbadala ya ku deliver bombs,kwa wakati ule walikuwa wakiregard sana nukes,ndipo ICBM zikawa zimereplace longrange bombers.
nchi kama iran mambo inayofanya leo,marekani wameyafanya miaka 40 iliyopita,kamwe hawawezi kuwaweza usa
Urusi naye kama ni kupigana na usa,basi wangeshabigana kipindi cha coldwar,lakin kila mtu akawa muoga wa kufanya kufanya preemptive attack,kwa kuogopa uzito wa retaliation kutoka mwenzake-ila ussr alkuwa anajitoa kwenye game nyingi.
China naye na ussr wamekuwa waoga,china alishamwita ussr "toothless dragon" na relation yao ikayumba kidogo,baada ya kuona ussr anavyomgwaya usa,hii ilitokea baada ya usa kufanya blockage,(kipindi ya cuba missile crisis)ambayo kwa international law,hio ni act of war,lakini ussr wagajitoa baada ya politics kufanya kazi.
But bado russia,china na iran wanakazi ngumu ya kujipanga ili waweze kumsurpass USA kijeshi,ukitegemea USA ana batteries,missiles na military command kuzunguka maadui wake,na wao hawana-kazi wanayo
 
FYI

Soon israel itaangusha uchumi wa Merakani; na vita kubwa itapigwa Allah atuepushe
 
Sehemu mmoja Mmarekani amecomment hivi;

whats the point of being a president where there is none alive..,anyone can be a president.....if he dies we can elect someone but if we all persons die the president cannot elect his people or in other words he cannot bring them alive,,...he will a president to the dead people....this is foolish...

I can't agree more!

Like this!! gimme a link
 
marekani now wamedizaini ndege ambayo haiwezi kuathiliwa na mionzi ya nyuklia pindi vita hii ya tatu itakapoanza, ndege hii inauwezo pia wakuingia chini ya bahari kama nyambizi inaitwa doomsday plane. tembeleeni kwenye www.you tube.com/doomsday plane
wanatudanganya hawa
 
Back
Top Bottom