Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

Kuna mambo sio ya Kuwish kabisa kwasababu consequences zitarejea kwa wananchi wa Kawaida na Kuwaumiza hao wanaoweka Pamba masikioni wana Investment za Kutosha na Offshore account za Kuwafanya waishi bila shida kabisa, Tuache kuleta ushabiki kwenye Maisha ya watu
 
Lini Marekani wameshawai kuzitambua chaguzi za Afrika!?
 
Wengine ajira zetu zinategemea mauzo ya bidhaa zetu nchi za Ulaya na Marekani,, unataka tukale kwa mamaako,,
Hapana. Uje ule kwangu maana hicho unachowauzia hao Ulaya na Marekani hata mimi natumia pia.
Kwahiyo usijali uhakika wa soko la bidhaa yako hata hapa ndani walaji tupo wa kutosha tu
 
Zamani ilikuwa jambo gumu wakati wa unipolar world or bipolar Saizi ni mult-polar world,huo ujinga hauna madhara sana
 
Uzuri now dunia ni KIJIJI tukio Igunga, chap taarifa imefika Belgium..Kazi kwenu
 
Hakuna anayechaguliwa bali wanachaguana wao
 
Kama wa 2020 waliutambua basi tusema kwa sauti kwamba October ni mama Samia kuwa rais again
 
Hawautambui kwani tupo kwenye uchaguzi wa kumchagua Rais wa marekani? Wao wasiendelee kuutambua uchaguzi uko palepale
 
unapenda kujitengenezea furaha, swala la ndege halina uhusiano na siasa na pia ata ingekua inahusiana na siasa ni wao, sasa wao wasipotambua inatuhusu vp apo? ujue saa ingine kua chadema ni ulemavu 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Dunia ya sasa ni kijiji,, huwezi kujitenga nayo,, mnatetea na visivyo stahili kutetea,
Mimi sitetei mkuu. Naongelea jinsi tuna yofeli kufanya mambo yetu hadi tulazimishwe na wazungu. Sitetei kitu mkuu wangu.
 
Marekane imetamka wazi kabisa kuwa inajiandaa kupiga kijeshi Tanzania Kwa kuwa kitovu Cha utekaji na uuaji wa watu mchana kweupe.Na sisi vijana tuko tayari kusaidia marekani kuichukulia hatua hii serikali ya wauaji ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…