Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

Hoja ya team NoRNoE yenye nguvu ni moja tu "Utekaji" ambao bado hatuelewi elewi nini kinaendelea.
Ila Kwa Maswala ya Kidiplomasia Mama Samia sina shaka nae. Mambo ya kutekeleza alioya ahidi sina shaka nae kabisa.
Mm anachoniuz nikulea watumishi km watoto wake kitu kinachopelekea ubadhirifu wa fedha kuwa mkubwa mno
Mimi kwa sasa nina shaka na yote, ameshafeli kwenye diplomasia. Watu wake wanajibu nchi zingine kama wao ndo wenye dunia nzima. Wanapojibu chochote ni yeye kajibu.
 
file_00000000a19c61f7a8a31c72919aef6b.png
 
Tunachopigania ni haki of course, haki ya freedom of speech, freedom of religion, kutokutekwa na kutokuuawa kipumbavu na vibaka wa Chura Kiziwi. Haki ya kuwa na huru unapo-support chama chochote na kuwa huru kukitetea bila hofu ya kutekwa na kuuawa.
Hiyo ndiyo haki tunayoitaka Watanzania.
Safi sana. Mambo ya ujamaa au ubepari hayatusaidii. Sweden ni nchi ya kijamaa, lakini wanazo hizo haki tunazodai kuliko huyo anayetajwa kama kinara wa demokrasia duniani.
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Marekani inaihitaji Tanzania kuliko Tanzania inavyoihitaji Marekani
 
Iko hivi watabana kupitia UN , hivi mnajua UN hawana nyaraka za nchi inaitwa Tanzania ila Kuna Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar pekee , hivyo mabeberu wanaweza leta mgogoro tu wa Kimamlaka na hasa sisi kuegemea sana China na Arabuni , hili bomu mbona tamu kete zinazopigwa hapa New York ni Kali mno
 
Wazungu wako busy na mambo yao eti waangaike na uchaguzi wa TZ,waafrika sijui tutaachana kujitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe!
 
This was for security reasons, not political.

ALL IN ALL NAUNGANA NA WEWE WESTERN KUI-SCREW TANZANIA MPAKA IWE NA UCHAGUZI HURU NA AHAKI
Kwa hiyo tunaopanda it’s for our own risks
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
 
Attachments

  • FB_IMG_1749333253543.jpg
    FB_IMG_1749333253543.jpg
    26.5 KB · Views: 24

Kwa hiyo chama pekee kinachotetea ushoga ndio kinatambulika!!? Hiyo ndio demokrasia!!? Ha ha ha ha! Anyway, kwani wao wasipoutambua sisi inatuhusu nini??
 
  • FB_IMG_1749561926263.jpg
    FB_IMG_1749561926263.jpg
    39.9 KB · Views: 20
Naomba mwenye ruling ya huyu jaji atuwekee hapa; Kuna kitu nataka kuprove.
 
vijana wa chadema munavituko sana, Nahisi bado CCM hamjaielewa vizuri.

CCM hawako tayari kutoka madarakani, na wapo tayari kwa lolote. Sasa hayo mambo ya misaada sijui mnajisumbua tu
 
Na wote tuseme AAAAAMEEEEEEEN MUNGU ATUSAIDIE HAYO YATOKEE HARAKA SANA.
 
vijana wa chadema munavituko sana, Nahisi bado CCM hamjaielewa vizuri.

CCM hawako tayari kutoka madarakani, na wapo tayari kwa lolote. Sasa hayo mambo ya misaada sijui mnajisumbua tu
Unamaanisha wapo tayari hata kutuua sote ili wabaki madarakani?!

You sound like a luciferist.
 
Back
Top Bottom