Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

hawawez kuingialia sovereignty ya nchi. na pia ncji kibao zipo.North korea rusia, Iran kote huko hela kibao. ulaya wenyewe wana maisha magum
Ndivyo mnavyomdanganya bibi yenu.Wajukuu washamba ni ajali kwa bibi yao.
 
Hata wasipoutambua ni sawa tu maana uchaguzi huu hatuchagui Rais wa Marekani wala wabunge wa bunge la ulaya.
Tanzania ni taifa huru kwahiyo hizo ni kelele za chura tu. Hata Traore hawamtambui lakini anaongoza taifa huru mpaka kesho.
Watu waliomuita Mandela gaidi bado unawaamini na kuwatilia maanani kiasi hicho!!!!?? Who are they by the way hadi kutupangia namna ya kuendesha mambo yetu ya ndani?

Yes ni taifa huru

That's why ulaya wamesema ndege zenu mrushe huko huko kwenu,

Taifa huru wakati % 60 ya bajet yenu mnasaidiwa?

Miradi yote mnafadhiliwa, mpaka vyooo vya shule ni kwa hisani ya watu wa Marekani then unajifanya taifa huru

Labda uhuru wa kuteka watu
 
Hata wasipoutambua ni sawa tu maana uchaguzi huu hatuchagui Rais wa Marekani wala wabunge wa bunge la ulaya.
Tanzania ni taifa huru kwahiyo hizo ni kelele za chura tu. Hata Traore hawamtambui lakini anaongoza taifa huru mpaka kesho.
Watu waliomuita Mandela gaidi bado unawaamini na kuwatilia maanani kiasi hicho!!!!?? Who are they by the way hadi kutupangia namna ya kuendesha mambo yetu ya ndani?
Yani umeolewa na unahudumiwa halafu unadai uhuru una wazimu nini, jifunze kwanza kujitegemea ndio usimame mbele za watu uongee hizo pumba, mnapoomba pesa zao hamjui kwamba tanzania ni taifa huru ila wakiwaingilia kwenye siasa zenu ndio mnajifanya kukumbuka hayo
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Ameen (na iwe hivyo)
 
Marekan na na ulaya huwa wanaweza watu iwapo wakikuoigw mikwara na ww ukaufyata ilia ukiwa mbabe wananyamaza tu
Kwa mfano
Tangu waanze kumpiga mikwara Kagame na yy akaamua kuwa mbishi wamemfanya Nini?
VIPI kuhusu Mzee Kaguta si wameweka vikwazo kibao kwa Uganda lakn si wamevitoa tena wenyewe?
Trump alivyomkoromea Ramaphosa na Ramaphosa naye akamletea ubabe Trump je kipi USA imekifanya Cha tofauti kwa SA?
Kwahiyo Hawa majamaa uwezo wao wa kutenda unategemea na reaction ya mtendewa
 
Hoja ya team NoRNoE yenye nguvu ni moja tu "Utekaji" ambao bado hatuelewi elewi nini kinaendelea.
Ila Kwa Maswala ya Kidiplomasia Mama Samia sina shaka nae. Mambo ya kutekeleza alioya ahidi sina shaka nae kabisa.
Mm anachoniuz nikulea watumishi km watoto wake kitu kinachopelekea ubadhirifu wa fedha kuwa mkubwa mno
Hajui diplomasia yeyote huyo wala usitudanganye
 
Akili hizi ni ugali kichwani ubongo hata kidogo.
Kuna Chauma na vyama kibao vya upinzani wanashiriki.
Nani ni Chadema
 
Waafrika siku mtaamua mambo yenu Nila kujifanya yatima asiyeprndwa
Sipendi yanayoendelea huko lakini hata Somaliland wamekataliwa ila wana nchi yao kibabe tu

Ila tusitegemee makubwa kutoka kwao
Wao ni maslahi tu
 
Ona punguani hili lisiloelewa chochote kuhusu mahusiano ya dunia.

DUnia ni moja, mipaka ya nchi haikupi wewe kuwa na Dunia yako.

Tanzania ikitengwa na Dunia, maisha yatakuwa kama yale ya enzi za stone age.
USA is my dream country
Ila nikuambie tu ukweli, USA na Ulaya sio dunia mkuu
Unaweza kutengwa na USA na Ulaya na bado ukashirikiana na Russia, China nk na nchi ikaendelea
Tusitishwe na hizo sanctions zao
 
Kwa UROHO wa madaraka alionao Idd Amin Mama, yuko tayari hata kutembea uchi ilimradi tu arejee pale ikulu. Mtu anateka, kutesa, kufira na kuua BILA HOFU wakosoaji wake wanaonekana kumletea kiwingu, unadhani huyo ni binadamu wa kawaida?
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Ahh! Mie nilidhani Serikali yenyewe ya TANZANIA ndio hautautambua Uchaguzi Mkuu ujao bila CHADEMA kushiriki, kumbe hao GAYS?
WAKWENDRE HUKO HAKANAWE MAVI.
 
Hata wasipoutambua ni sawa tu maana uchaguzi huu hatuchagui Rais wa Marekani wala wabunge wa bunge la ulaya.
Tanzania ni taifa huru kwahiyo hizo ni kelele za chura tu. Hata Traore hawamtambui lakini anaongoza taifa huru mpaka kesho.
Watu waliomuita Mandela gaidi bado unawaamini na kuwatilia maanani kiasi hicho!!!!?? Who are they by the way hadi kutupangia namna ya kuendesha mambo yetu ya ndani?
Ona huyu !!!
 
Eti traore akili unazo? Usijifananishe na watu wenye akili wakati akili zenyewe hauna
Ukimgeza traore tunawapa miezi mitatu tu nchi inarudi kwenye uchaguzi
 
Ona punguani hili lisiloelewa chochote kuhusu mahusiano ya dunia.

DUnia ni moja, mipaka ya nchi haikupi wewe kuwa na Dunia yako.

Tanzania ikitengwa na Dunia, maisha yatakuwa kama yale ya enzi za stone age.
Hakuna mahusiano ya dunia bali kuna maslahi ya dunia.Nchi zinakua na mahusiano yakimaslahi sio zaidi ya hapo.Ndo maana sio nchi zote zina uhusiano.Nipe nikupe ndio dunia ilivyo.Ukiona nchi zinatengana jua nikwasababu yakupishana maslahi.Na kama nchi zinanufaishana ata serikali ifanye ujinga gani huwezi kusikia ikisema chochote zaidi yakupiga propaganda kuaminisha wajinga.
 
Ni ngumu kufananisha na madhila wanayopitia kwa sasa
Hawakuamua na kucheza karata zao vyema
Badala yake wakagawana fito
Kwani kiu ya watanzania nini ndugu? Kama mnajua chuki ina madhara kwa nini tusikae tukajenga nyumba ya pamoja?

Tatizo la CCM ni walafi wa madaraka. Ni afadhali itumike nguvu demokrasia ipatikane watoto wetu wataijenga Tanzania inayojitambua.
 
Back
Top Bottom