Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Kwani tunachagua rais wa ulaya?? Mbona machadema mmegeuka vibaka wazi wazi!
 
Unamaanisha wapo tayari hata kutuua sote ili wabaki madarakani?!

You sound like a luciferist.

Kabisa mkuu. ndio mana nikazungumza hamjawaelewa vizuri. nimeshuhudia chaguzi karibu 5 Zanzibar nazungumza kwa kuelewa kabisa ninachokizungumza.
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
NENO HILI AMELISEMA BWANA NA HAKIKA ATALISIMAMIA.

AMINA NA LIWE.

No reform No Election katika jina la Mungu wa Setfree amen
 
Makamanda hakuna kulegeza bolt Spana iendelee kubana. Kwa tikio la leo la Igunga na Mahakama ya hakimu mkazi ujumbe kamili watakubaliana na watanzania kwamba wanawapora haki yao kikatiba.

ICC isichwlewe kuwangpfoa wahusika ili uchaguzi wakafanyie mahakama ya ICC. Ushahidi mnono kabisa

NO reforms No Election
 
Tuendelee kuomba Mungu mama samia apate hekima wake meza moja na Lissu wayamalize, huu mvutano utaathiri sana Uchumi wetu
Mungu azidi kumtia kiburi huyo mama ili anguko lake liwahi mapema kabla ya uchaguzi, Huyu mama hawajui ccm vizuri, wanamlia tu timing akijaa jinsi watakavyo mgeuka hatoamini
 
Unajua shida ipo kubwa sana bajet yetu haikidhi maitaji sasa asilimia kubwa serikali inakopa kwa hao watu hata deni la taifa asilimia kubwa misaada imetoka kwa izo nchi sasa hao watu wakikata misaada kutakuwa na hali mbaya sana
Wakifikiria kuhusu kutolewa madarakani na madhambi wakiyofanya wapo tayari kwa lolote yaani kama popo aliyepigwa manati haachii tawi kizembe.
 
Unajua shida ipo kubwa sana bajet yetu haikidhi maitaji sasa asilimia kubwa serikali inakopa kwa hao watu hata deni la taifa asilimia kubwa misaada imetoka kwa izo nchi sasa hao watu wakikata misaada kutakuwa na hali mbaya sana
umeshasema kukopa, duu kwan unaomba. otherwise kuna choina bank. na hazina mashart ya ushoga. uliona IMF ilivyokataa kutoa mikopo uganda uganda baada ya mwaka wakaona wao ndio wanaloose wakawarudia waganda kwa mgongo wa nyuma kimya kimya eti uganda inafanya vizuri kwenye uchumi kumbe waliona wamechia bucha kwa fisi china
 
wewe unatutishia nyau, siku hiz dunia imehama ulaya, tuko china, urabuni , na afrila yenyewe,
China na Arabs mchango wao kwenye budget yetu ya kukopa ni mdogo sana kulinganisha na West.

Taasisi kubwa za kifedha bado ziko chini ya west (World bank na Imf).
Hekima ni muhimu kuliko hisia!
 
sasa kwani IMF inatoa misaada au inakopesha its bussness( nimekutolea mfano uganda walivyokatisha mikopo kisa sheria ya ushoga, unajua baada ya miez mitatu walirudi kimya kimya baada ya kuona wanaloose waliwaachia duka china& arabs), china uarabuni wanaweza kukopesha zidi kuliko
 
Tatizo moja la CCM wanataka kuongoza nchi Karne hii ya 21 mwaka 2025 kwa kutumia strategies zile zile za mwaka 47.

Inaonekana wanaokishauri chama hawasomi alama za nyakati.
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Hawa mbwa wanaenda kuifanya hii nchi kama Zimbabwe au venezuela ,Kenge kabisa hizi
 
******* sana hawa vilaza wa ccm
 
sasa kwani IMF inatoa misaada au inakopesha its bussness( nimekutolea mfano uganda walivyokatisha mikopo kisa sheria ya ushoga, unajua baada ya miez mitatu walirudi kimya kimya baada ya kuona wanaloose waliwaachia duka china& arabs), china uarabuni wanaweza kukopesha zidi kuliko
Kuna facts na kuna mihemko!
 
Tulionya mapema sana Nyundo Tani kumi itatuwa...safi sana mpaka shetwani aseme poo
 
hawawez kuingialia sovereignty ya nchi. na pia ncji kibao zipo.North korea rusia, Iran kote huko hela kibao. ulaya wenyewe wana maisha magum
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Wakoloni waenzi za kidigitali ilhali mbinu zao za enzi ya uvumbuzi wa analogia.No reform no election.
 
Back
Top Bottom