Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

Hao wazungu wa Ulaya na Marekani wanashida zimewajaa mpaka shingoni. Trump anagombana na uongozi wa jimbo la California kuhusiana na suala la kuwarudisha makwao wakimbizi haswa raia wa mataifa kutoka Amerika ya Kusini.

Mabomu yanalipuka kwa karibu wiki nzima, hawana muda wa kuhangaika na shida za Tanzania wakati wao wanayo matatizo yanayovisumbua vichwa vyao.
 
Mikopo siyo misaada na kwa taarifa yako kwa sasa TZ tunapata mikopo mingi toka China na nchi za Asia wala siyo EU na Marekani.
Sasa katika hiyo mikopo ni mingapi mmesamehewa kwanza unajua maana ya grants, halafu mnadhani hizo nchi nyingine ndio zinatupa hiyo mikopo bure au mnajitoa ufahamu tu, uliza zambia walichofanyiwaga na china halafu ndio urudi hapa uje uwasifie na kujifariji
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
bora iwe hivyo kuliko kupangoiana mambo ya kufanay na wazungu mbon awao wanapiga waandamanaji na wana sema kuna democrasia ya kweli wasitupangie cha kufanay na wewe kibaraka wao ulieandika hapa ukomeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Hao wamarekani na wazungu wa ulaya wanazo shida zao nyingi zinawaumiza vichwa muda huu.

Hao mawakala wao wanaotumwa na taasisi ya Open Society ya George Soros, wanakamatwa kila siku hivyo hiyo mipango yao ya kutaka kuiona Tanzania ikiingia kwenye vurugu za kina Somalia haiwezi kwa namna yoyote ile kufanikiwa.
 
Sasa katika hiyo mikopo ni mingapi mmesamehewa kwanza unajua maana ya grants, halafu mnadhani hizo nchi nyingine ndio zinatupa hiyo mikopo bure au mnajitoa ufahamu tu, uliza zambia walichofanyiwaga na china halafu ndio urudi hapa uje uwasifie na kujifariji
Wewe unataka cha bure? Mikopo lazima ulipe hatutaki grants sisi hata Trump ameshazuia hizo grants zilizokuwa zinatolewa na USAID.
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Sijui ni lini utauharisha huo uvundo, nafikiri baada ya uchaguzi.
 
Aliesema anafungua nchi ameamua kuifunga baada ya kuona hatari ya kuondolewa madarakani.Kiti kitamu wewe, who cares hata tukinyimwa misaada,wao si watakula Kodi zetu ila sisi tutakula Kitakachosalia baada ya wao kula!
 
Achana na ulaya/marekani hamna kitu hpo,wamezuia ARVS na Bado watu wanadunda,umasahau Jpm aliwachukuwa akina mdee na wezie 18,wakatengeneza mawaziri vivuli na maisha yalisonga,sembuse kipindi hiki ACT Kila kata kaweka madiwani na wabunge.
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Sisi tutautambua

DONT depend on foreign powers to recognize your sovereignty
 
Wewe unataka cha bure? Mikopo lazima ulipe hatutaki grants sisi hata Trump ameshazuia hizo grants zilizokuwa zinatolewa na USAID.
Sasa ndio muwaambie hao viongozi wenu wanaotaka vya bure, mimi nasema ukikubali kuingiliwa kiuchumi basi kubali kuingiliwa na kisiasa siyo unachagua pa kuingiliwa, hata hao wachina mnaowasifia nao kuna mahali wanatuingilia ambapo sisi hatunufaiki napo
 
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Sisi wananchi,wenye nchi tunautambua uchaguzi wetu,inatosha
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Wewe unataka cha bure? Mikopo lazima ulipe hatutaki grants sisi hata Trump ameshazuia hizo grants zilizokuwa zinatolewa na USAID.
Na zile mwaka huu walizipania aana maana huwa zinalipia fujo za uchaguzi na vilainishi

This time imekua tone Kwa tone
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.

Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.

Niliandika Uzi hapa, Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia! kwenye Video iliyopo hapo, Sio tu IDU kumjadili LISSU, Bunge la Ulaya Limemjadili pia, na Bunge la Ulaya likaja na Maadhimio yake , haikuishia hapo, Marekan kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje ikanena pia.

Juzi Ulaya imepiga Marufuku Ndege za ATCL ... Hiyo ni Signal ,Mnatumiwa CCM .

ANGUKO la Nchi linaenda kua Dhahiri na Uhakika hivi karibuni.

Taarifa za Uhakika kabisa zisizokua na Mashaka, MAREKAN NA ULAYA zimeadhimia Kwa pamoja, Kutoutambua Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa CHADEMA haishiriki, na CHADEMA kushiriki ni lazima Mabadiliko yafanyike, Hatuwezi shiriki chaguzi ambazo watu wetu wanauliwa !! HATUWEZI KAMWE!!!.

Sasa, ATHARI ya Ulaya na Marekan Kutoutambua Uchaguzi Mkuu ,maana yake ni Kutotambua Serikali , Mnataka kuua Nchi?? ?Mnataka Kutesa Wananchi wakati ambao Nyinyi mtakua mnaishi vizuri??.

Ikiwa Nyerere alikubali Kunyoosha Mikono , Basi Hata mfanye nini, CCM mpo Dunia hii hii ambayo Ulaya na Marekani ndio viranja wake !!.

Iandaeni Nchi kusitishiwa Misaada katika Nyanja mbalimbali
Iandaeni Nchi kuondolewa kwenye Mifumo ya Kipesa ya Dunia
Jiandaeni kuzuiliwa Kukanyaga Marekan na Ulaya.
Jiandaeni Bidhaa zote zinazouzwa uzwa katika Mataifa ya Ulaya, Marekan, Japan, Korea na washiriki wao wote kupiga Marufuku .

Jiandaeni Jiandaeni !!.

Kazi yetu sisi ni Kusema tu¡!.
Time Will tell
 
Kwani wamekatazwa

kwan hayo machadema yamezuiwa kushiriki c wanajiengua wenyewe
 
ooooh hapana👀 wazungu nao washajua SSH anataka ashinde kwa goli la mkono
  • No reforms no election👿
  • wale wa Oktoba tunatik wanapoteza muda😭

Back
Top Bottom