Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine.
Katika kura hizo zilizopigwa mnamo tarehe 24 Februari 2025, kwanza Marekani , Urusi pamoja na nchi nyingine kama Korea Kaskazini, Israel na Hungary, zilipinga azimio lililoandaliwa na nchi za Ulaya lililolaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine .
Azimio hilo lilitaja uvamizi wa Urusi kama chanzo cha vita hivyo.
Vilevile, Marekani na Urusi ziliunga mkono azimio lililoandaliwa na Marekani ambalo halikulaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Hii ni kinyume na msimamo wa utawala wa Joe Biden ambao mara zote ulilaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Katika hatua nyingine,waziri wa Ulinzi wa Marekani Pète Hegseth katika mojawapo ya mahojiano na mwandishi wa habari alikataa kutumia kauli ya " Urusi iliivamia Ukraine pasipo kuchokozwa" badala yake akidai kuwa jambo hilo ni" complicated"
==============================================
he US has twice sided with Russia in votes at the United Nations to mark the third anniversary of the Russian invasion of Ukraine, highlighting the Trump administration’s change of stance on the war.
First the US opposed a European-drafted resolution condemning Moscow’s actions and supporting Ukraine’s territorial integrity – voting the same way as Russia and countries including North Korea and Belarus at the UN General Assembly (UNGA) in New York.
Then the US drafted and voted for a resolution at the UN Security Council which called for an end to the conflict but contained no criticism of Russia.
Source: Daily News