Marekani na Urusi zimetangaza kuunga mkono maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ukraine

Marekani na Urusi zimetangaza kuunga mkono maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ukraine

Strong ladg

Senior Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
170
Reaction score
445
Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine.

Katika kura hizo zilizopigwa mnamo tarehe 24 Februari 2025, kwanza Marekani , Urusi pamoja na nchi nyingine kama Korea Kaskazini, Israel na Hungary, zilipinga azimio lililoandaliwa na nchi za Ulaya lililolaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine .

Azimio hilo lilitaja uvamizi wa Urusi kama chanzo cha vita hivyo.

Vilevile, Marekani na Urusi ziliunga mkono azimio lililoandaliwa na Marekani ambalo halikulaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.

Hii ni kinyume na msimamo wa utawala wa Joe Biden ambao mara zote ulilaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.

Katika hatua nyingine,waziri wa Ulinzi wa Marekani Pète Hegseth katika mojawapo ya mahojiano na mwandishi wa habari alikataa kutumia kauli ya " Urusi iliivamia Ukraine pasipo kuchokozwa" badala yake akidai kuwa jambo hilo ni" complicated"

==============================================

us russia.png

he US has twice sided with Russia in votes at the United Nations to mark the third anniversary of the Russian invasion of Ukraine, highlighting the Trump administration’s change of stance on the war.

First the US opposed a European-drafted resolution condemning Moscow’s actions and supporting Ukraine’s territorial integrity – voting the same way as Russia and countries including North Korea and Belarus at the UN General Assembly (UNGA) in New York.

Then the US drafted and voted for a resolution at the UN Security Council which called for an end to the conflict but contained no criticism of Russia.

Source: Daily News
 
Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine . Katika kura hizo zilizopigwa mnamo tarehe 24 Februari 2025, kwanza Marekani , Urusi pamoja na nchi nyingine kama Korea Kaskazini, Israel na Hungary, zilipinga azimio lililoandaliwa na nchi za Ulaya lililolaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine . Azimio hilo lilitaja uvamizi wa Urusi kama chanzo cha vita hivyo.
Vilevile, Marekani na Urusi ziliunga mkono azimio lililoandaliwa na Marekani ambalo halikulaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.

Hii ni kinyume na msimamo wa utawala wa Joe Biden ambao mara zote ulilaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.

Katika hatua nyingine,waziri wa Ulinzi wa Marekani Pète Hegseth katika mojawapo ya mahojiano na mwandishi wa habari alikataa kutumia kauli ya " Urusi iliivamia Ukraine pasipo kuchokozwa" badala yake akidai kuwa jambo hilo ni" complicated"
MAREKANI ILIKUWA JERA YA MATAIFA YA ULAYA KUKOSA UHURU KUJITANUA KAMA KARNE YA 15 HADI 19 , MAREKANI INAVYOZID JITENGA NA ULAYA BASI TUTEGEMEE MENGI KUTOKEA KWENYE KADHAA MBELE ILI ULAYA IENDELE KUSURVIVE
 
Hakukuwa jela bali ni Marekani alikuwa anawabeba . Bila msaada wa Marekani wasingekuwa hapo. Baada ya vita ya pili ya dunia walikuwa wamechoka sana. Ulaya ipo kwenye wakati mgumu sana kwa sasa
1. Kwenye masuala ya viwanda na teknolojia China kawapiga bao sana.
2. Ushawishi wao kimataifa si mkubwa kulinganisha na China, Urusi na Marekani.
3. Hawazaliani sana .
Kumbuka karne ya 15 hadi 19 wakati wanajitanua kulikuwa na biashara ya watumwa pamoja na makoloni yao yaliyochangia maendeleo yao ya viwanda na miundombinu. Pia kulikuwa na watu wengi na upinzani kutoka China haukuwepo. Sasahivi dunia imebadilika na itabidi waje na mbinu mpya Ili kukua. Hakuna makoloni wala watumwa tena leo hii. Pia nchi nyingine nje ya Ulaya zinawekeza sana kwenye teknolojia na viwanda. Dunia haipo Ulaya tu
 
Back
Top Bottom