Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Putin kifaa
Nalog off Z
Nalog off Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There is a famous saying by the former Egyptian president Hosni Mubarak:
"He who is covered by Americans is naked!"[emoji16][emoji16]View attachment 2261071
Rambo na Arnold bila shaka wangetosha[emoji41][emoji41][emoji41]Marekani wahuni sana, watu tulijua US navy na SWAT wanaingia kazini kama kwenye movie zao lakini kanyuti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe Uzi wako ukimsuta mtu kwa kizungu uko wapi?Sasa ndo upuuzi gani umeandika hapa. Ni kama mipasho ya taaribu au kumsuta mtu uswahilini. Chambua mambo ukiwa balanced
Jamaa kaeleza ukweli ukweli mtupu yaani hali halisi ilivyo, acha kuishi kiuongo na kiunafikSasa ndo upuuzi gani umeandika hapa. Ni kama mipasho ya taaribu au kumsuta mtu uswahilini. Chambua mambo ukiwa balanced
Kwa sabab Uganda tulikuwa tunawamudu kivyovyote vile [emoji41][emoji41][emoji41]Unaandika hadithi ndefu ambayo haina hata maana. Tanzania ilipovamiwa na Uganda October 1978 kwa nini Tanzania haikukaa ifanye mazungumzo na Uganda.
Urusi itachukua nchi ile yoye wasiposhituka.
Marekani wahuni sana, watu tulijua US navy na SWAT wanaingia kazini kama kwenye movie zao lakini kanyuti🤣🤣🤣🤣
Wote tumeona utofauti WA China na Rusia hasa kwenye hii vita ni vigumu kumtenga Rusia na uchumi WA dunia wote duniani tunalia vitu kupanda sababu ya Rusia Ila China haya maumivu yasingetukutaVita ni gharama na ni biashara. Unapigana vita ili uonekane una silaha kali. Nchi za kibepari wameshatoka huko, wanapigana vita biashara. Tunaingia vitani ili nije kuiba mali zako ndicho kilichotokea kwenye nchi zenye mafuta. Watu wameiba mafuta wamejaza kwao, kipindi cha ukoloni wameiba sana mali wameweka kwao.
Tunakoelekea China atamzidi kiuchumi mbali sana Russia.
Wote tumeona utofauti WA China na Rusia hasa kwenye hii vita ni vigumu kumtenga Rusia na uchumi WA dunia wote duniani tunalia vitu kupanda sababu ya Rusia Ila China haya maumivu yasingetukuta
Huwezi kuuona uhalisia wa ukubwa wa uchumi wa urusi kupitia data za imf na wb kwa sabab jamaa uchumi wao unaendeshwa kiujasus,Vita ni gharama na ni biashara. Unapigana vita ili uonekane una silaha kali. Nchi za kibepari wameshatoka huko, wanapigana vita biashara. Tunaingia vitani ili nije kuiba mali zako ndicho kilichotokea kwenye nchi zenye mafuta. Watu wameiba mafuta wamejaza kwao, kipindi cha ukoloni wameiba sana mali wameweka kwao.
Tunakoelekea China atamzidi kiuchumi mbali sana Russia.
Yukraini ni nchi ndogo? Upo timamu kweli?Russia hii vita amekurupuka 100%. Huwezi kutumia nguvu kupigana na ka nchi kadogo km Ukraine. Ni matumizi mabaya ya akili na mali.