Ati kenya ni nchi ndogo na kame. Hicho kisingizio chenu cha udogo na ukame ndio maana ni maskini, scarce food, huge inequality etc will flourish and Somedays mtabaki story.Kati yetu na nyie ni rahisi kujua anayenyonywa akanyonyeka, maana nyie pamoja na raslimali nyingi kuzidi nchi zote za Afrika, lakini mpo maskini wa kutupwa hadi mnashia kushindwa na viinchi vidogo na kame kama Kenya.
Wamempigisha magoti Kim? Cheki ulivyo ndezi. Kim has nuclear weapons na hakuna na amekataa kuamuliwa, kitu alichokiacha ni kurusha makombora, which was rudeness. But hajapigishwa magoti na miungu wenu, ww nishakwambiaga, ni zeroHawa wazungu wamempigisha magoti Kim wa Korea Kaskazini pamoja na kwamba anavyo viwanda vyake, japo yeye nafuu anayo uwezo wa kuwatunishia misuli kwa muda mrefu, kikubwa akiacha uchizi wa nyuklia watakosa pa kumtaftia ugomvi, lakini nyeusi ambazo zinaanza viwanda vya vyerehani viine, mzungu atakua kila akikohoa au kujamba unaita wanahabari na kuitika 'ndio mkuu'.
Makonda amepayuka tu na kuisababishia nchi yote kilio, ila japo inafahamika ukiwa mkuu wa mkoa wa Dar ni kama rais pili wa nchi, maana nguvu iliyotumika ya mawaziri kujitokeza na kumkana Makonda na kujitetea ni wazi kama taifa mumeguswa pahali na wazungu, watakua wamepiga simu kimya kimya, na bado kibano kipo hadi waridhike kwamba mabwabwa yao hayanyoshewi kidole tena.
KULA MAWE MWENYEWE USITAKE KUSHAWISHI WATU UPUMBAVU.
HAIWEZEKANI NCHI IPOTEZE MABILIONI YA SHILINGI ETI KISA JAMES DELICIOUS.
Viranja wa Dunia. Bila America tungekuwa na World war 5 sahii. USA ndio inasmamia haki na uhuru wa kibinadamu kote duniani. Mkianza kujifanya kama manyani they take care of you, uwe wewe ni mchina,Muafrika ama We ni Mzungu kutoka Europe ama America wote tuko china Uongozi wa US kama World leader through the UN.
Majitu hayajifunzi kabisa?wakati wa baba wa Taiga,jeshi lilipo hasi,mnakumbuka kilichomuokoa Mwalimu Nyerere?sio msimamo wake dhidi ya ubeberu,sio Sera za ujamaa,aliwaomba wazungu hao hao,wakoroni waje wamsaidie,
Sisi hatuna uwezo wa kupambana na hawa wazungu,kiuchumi,Cuba ilijaribu,lakini mpaka karne 21,bado walitafuta uhusiano na USA,baada ya kuona mambo hayaendi,sasa HV hatupo kwenye vita baridi,hivi wazungu hawa wakigoma kununua pareto yetu,mkonge wetu,kahawa yetu,pamba yetu,mtayapereka wapi haya mazao?tuache ujinga,ushoga ni minor issue,tuachane nayo
Wamempigisha magoti Kim? Cheki ulivyo ndezi. Kim has nuclear weapons na hakuna na amekataa kuamuliwa, kitu alichokiacha ni kurusha makombora, which was rudeness. But hajapigishwa magoti na miungu wenu, ww nishakwambiaga, ni zero
Una stress wewe
Swali dogo tu mapovu kibao.
Swali gani??hadi unidhanie nimetoa povu???[emoji3][emoji3]
Tatizo mnakurupuka tu ka bashite[emoji3][emoji3]