Majitu hayajifunzi kabisa?wakati wa baba wa Taiga,jeshi lilipo hasi,mnakumbuka kilichomuokoa Mwalimu Nyerere?sio msimamo wake dhidi ya ubeberu,sio Sera za ujamaa,aliwaomba wazungu hao hao,wakoroni waje wamsaidie,
Sisi hatuna uwezo wa kupambana na hawa wazungu,kiuchumi,Cuba ilijaribu,lakini mpaka karne 21,bado walitafuta uhusiano na USA,baada ya kuona mambo hayaendi,sasa HV hatupo kwenye vita baridi,hivi wazungu hawa wakigoma kununua pareto yetu,mkonge wetu,kahawa yetu,pamba yetu,mtayapereka wapi haya mazao?tuache ujinga,ushoga ni minor issue,tuachane nayo