Marekani naye ameibuka na tamko dhidi ya Tanzania

Marekani naye ameibuka na tamko dhidi ya Tanzania

Status
Not open for further replies.
Kati yetu na nyie ni rahisi kujua anayenyonywa akanyonyeka, maana nyie pamoja na raslimali nyingi kuzidi nchi zote za Afrika, lakini mpo maskini wa kutupwa hadi mnashia kushindwa na viinchi vidogo na kame kama Kenya.
Ati kenya ni nchi ndogo na kame. Hicho kisingizio chenu cha udogo na ukame ndio maana ni maskini, scarce food, huge inequality etc will flourish and Somedays mtabaki story.
 
Hawa wazungu wamempigisha magoti Kim wa Korea Kaskazini pamoja na kwamba anavyo viwanda vyake, japo yeye nafuu anayo uwezo wa kuwatunishia misuli kwa muda mrefu, kikubwa akiacha uchizi wa nyuklia watakosa pa kumtaftia ugomvi, lakini nyeusi ambazo zinaanza viwanda vya vyerehani viine, mzungu atakua kila akikohoa au kujamba unaita wanahabari na kuitika 'ndio mkuu'.

Makonda amepayuka tu na kuisababishia nchi yote kilio, ila japo inafahamika ukiwa mkuu wa mkoa wa Dar ni kama rais pili wa nchi, maana nguvu iliyotumika ya mawaziri kujitokeza na kumkana Makonda na kujitetea ni wazi kama taifa mumeguswa pahali na wazungu, watakua wamepiga simu kimya kimya, na bado kibano kipo hadi waridhike kwamba mabwabwa yao hayanyoshewi kidole tena.
Wamempigisha magoti Kim? Cheki ulivyo ndezi. Kim has nuclear weapons na hakuna na amekataa kuamuliwa, kitu alichokiacha ni kurusha makombora, which was rudeness. But hajapigishwa magoti na miungu wenu, ww nishakwambiaga, ni zero
 
Huu ni upuuzi ukisoma tu mistari 6 ya kwanza utajua

MAGUFULI NASIKIA UPO HUMU.MZEE CHAPA KAZI PIA MAKONDA ENDELEA HIVO HIVO NA HILI JAMBO MIMI NAKUCHUKIA MUHESHIMIWA RAIS NA HUA NAKUSEMA VIBAYA MNO HUMU.ILA KATIKA HILI NAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA 5
 
KULA MAWE MWENYEWE USITAKE KUSHAWISHI WATU UPUMBAVU.

HAIWEZEKANI NCHI IPOTEZE MABILIONI YA SHILINGI ETI KISA JAMES DELICIOUS.

Hivi bado watu mnafikiria misaada hadi leo?
2018? Really?? You cant work and earn your cash?
Wewe binafsi unajitegemea? Au unasaidiwa?
Halafu watu mnaoandika kwa herufi kubwa namna hii huwa na matatizo kwenye Cognition.
 
Viranja wa Dunia. Bila America tungekuwa na World war 5 sahii. USA ndio inasmamia haki na uhuru wa kibinadamu kote duniani. Mkianza kujifanya kama manyani they take care of you, uwe wewe ni mchina,Muafrika ama We ni Mzungu kutoka Europe ama America wote tuko china Uongozi wa US kama World leader through the UN.

Man you are so Ignorant, elimu ya [emoji1139] hufundisha wanafunzi kingereza pekee,
How can a nation selling weapons to Saudi arabia [emoji1210] to torture innocent kids in Yemen [emoji1267] care about human Rights?
By the way, did you know whose behind the mighty al shaabab? Or you thought those AK 47 they use to kill innocent garisa students come from [emoji1156]
 
Majitu hayajifunzi kabisa?wakati wa baba wa Taiga,jeshi lilipo hasi,mnakumbuka kilichomuokoa Mwalimu Nyerere?sio msimamo wake dhidi ya ubeberu,sio Sera za ujamaa,aliwaomba wazungu hao hao,wakoroni waje wamsaidie,
Sisi hatuna uwezo wa kupambana na hawa wazungu,kiuchumi,Cuba ilijaribu,lakini mpaka karne 21,bado walitafuta uhusiano na USA,baada ya kuona mambo hayaendi,sasa HV hatupo kwenye vita baridi,hivi wazungu hawa wakigoma kununua pareto yetu,mkonge wetu,kahawa yetu,pamba yetu,mtayapereka wapi haya mazao?tuache ujinga,ushoga ni minor issue,tuachane nayo

Unafikiri wananunua kwa favor?? Au they buy those goods because the need them?
Labda tuanzie hapo
 
Wamempigisha magoti Kim? Cheki ulivyo ndezi. Kim has nuclear weapons na hakuna na amekataa kuamuliwa, kitu alichokiacha ni kurusha makombora, which was rudeness. But hajapigishwa magoti na miungu wenu, ww nishakwambiaga, ni zero

Hawa Wakenya wanajua tu kuzungumza Kingereza, nothing else!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom