Marekani: Polisi inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10

Ingekuwa moto huo uko Iran ungesikia Yahudi kafanya yake,tulisminishwa ujinga sana
Kama umesema mawazo yangu ungesikia usichezd na mosad mara netanyahu amefanyje .. tZ tuna ujinga mwingi sana hasa walokole
 
Ila hapa duniani kuna watu na viatu kwa kweli!

Sasa mtu anatumwa na halmashauri yake ya kichwa anaenda kuwasha moto duh hii ni balaa tupu. Pole zao wote walipata janga hili kubwa.
=====================

Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10 nchini Marekani.

Moto huo ulioanza usiku wa kuamkia Januari 9, 2025 umeteketeza nyumba za kifahari za mbele ya bahari.

Ofisa mkuu wa LAPD, Charles Dinsel ameuambia mtandao wa NewsNation jana Januari 9, kwamba mshukiwa mmoja yuko chini ya ulinzi, akihisiwa kusababisha moto huo kwa makusudi.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

"Baada ya dakika 20 hadi 30, mshukiwa alikamatwa katika eneo la Woodland Hills na wananchi. Hili linachunguzwa kama uhalifu," amesema Dinsel.

Ofisa huyo alipotakiwa kueleza moja kwa moja kama moto huo uliwashwa kwa makusudi, "Kwa sasa, tunaamini hivyo. Ndiyo."
Nkiangalia magofu ktk mji wa Gaza na viunga vyake, naona kabisa speed ya moto kuua ipo chini sana, need to speedup
 
Watu kumi tuu wamepotea ingekua nchi ile kwa moto ule idadi ingekua kubwa...
 
Film and television stars are among hundreds of people who have lost their homes in the Los Angeles wildfires that have ravaged parts of the world's showbiz capital 😥😥😥
1736562209721.jpg
 
Inawezekana alisambaza mabomba ya petrol mji mzima.. maana ni maajabu
 
Huo moto ingekuwa unawaka Iran au Russia ungesikia marekan anavyoimbwa

Na Israel

USA ni super power wa mchongo kabisa

Moto tu unamtesa je mabomu yakishushwa

Iran ni watu hatare sana

Hapo Kuna mkono wake kabisa
Mrusi kazalisha upepo
Iran moto ambao sio wakawaida nyuklia hiyo haizimiki kwa maji aiseee
 
Waishi kwa tahadhari wana maadui kila kona.
Leo kachoma moto, kesho mtu anaamka anaanza kumimini njugu road, keshokutwa dogo anafyatua maticha na gun, mtondogoo mwamba anagonga watu na magari.

Hiyo nchi bna, ila wanahitahidi kwa kiasi chake.
 
Ila hapa duniani kuna watu na viatu kwa kweli!

Sasa mtu anatumwa na halmashauri yake ya kichwa anaenda kuwasha moto duh hii ni balaa tupu. Pole zao wote walipata janga hili kubwa.
=====================

Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10 nchini Marekani.

Moto huo ulioanza usiku wa kuamkia Januari 9, 2025 umeteketeza nyumba za kifahari za mbele ya bahari.

Ofisa mkuu wa LAPD, Charles Dinsel ameuambia mtandao wa NewsNation jana Januari 9, kwamba mshukiwa mmoja yuko chini ya ulinzi, akihisiwa kusababisha moto huo kwa makusudi.

Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

"Baada ya dakika 20 hadi 30, mshukiwa alikamatwa katika eneo la Woodland Hills na wananchi. Hili linachunguzwa kama uhalifu," amesema Dinsel.

Ofisa huyo alipotakiwa kueleza moja kwa moja kama moto huo uliwashwa kwa makusudi, "Kwa sasa, tunaamini hivyo. Ndiyo."
Huenda hakukusudia alikuwa camping moto ukamwacha...
 
Back
Top Bottom