Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umesema mawazo yangu ungesikia usichezd na mosad mara netanyahu amefanyje .. tZ tuna ujinga mwingi sana hasa walokoleIngekuwa moto huo uko Iran ungesikia Yahudi kafanya yake,tulisminishwa ujinga sana
Nkiangalia magofu ktk mji wa Gaza na viunga vyake, naona kabisa speed ya moto kuua ipo chini sana, need to speedupIla hapa duniani kuna watu na viatu kwa kweli!
Sasa mtu anatumwa na halmashauri yake ya kichwa anaenda kuwasha moto duh hii ni balaa tupu. Pole zao wote walipata janga hili kubwa.
=====================
Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10 nchini Marekani.
Moto huo ulioanza usiku wa kuamkia Januari 9, 2025 umeteketeza nyumba za kifahari za mbele ya bahari.
Ofisa mkuu wa LAPD, Charles Dinsel ameuambia mtandao wa NewsNation jana Januari 9, kwamba mshukiwa mmoja yuko chini ya ulinzi, akihisiwa kusababisha moto huo kwa makusudi.
Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles
"Baada ya dakika 20 hadi 30, mshukiwa alikamatwa katika eneo la Woodland Hills na wananchi. Hili linachunguzwa kama uhalifu," amesema Dinsel.
Ofisa huyo alipotakiwa kueleza moja kwa moja kama moto huo uliwashwa kwa makusudi, "Kwa sasa, tunaamini hivyo. Ndiyo."
Malaika mchoma motoAtakuwa ni Malaika from palestina
Si mnasema wanakatia Bima?Film and television stars are among hundreds of people who have lost their homes in the Los Angeles wildfires that have ravaged parts of the world's showbiz capital 😥😥😥View attachment 3198203
Mchanga wa kujengea ni gharama sana pia hawataki kuharibu mazingira kwa kuchimba chimbaWaache kujenga nyumba za mbao na makaratasi
Huenda hakukusudia alikuwa camping moto ukamwacha...Ila hapa duniani kuna watu na viatu kwa kweli!
Sasa mtu anatumwa na halmashauri yake ya kichwa anaenda kuwasha moto duh hii ni balaa tupu. Pole zao wote walipata janga hili kubwa.
=====================
Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10 nchini Marekani.
Moto huo ulioanza usiku wa kuamkia Januari 9, 2025 umeteketeza nyumba za kifahari za mbele ya bahari.
Ofisa mkuu wa LAPD, Charles Dinsel ameuambia mtandao wa NewsNation jana Januari 9, kwamba mshukiwa mmoja yuko chini ya ulinzi, akihisiwa kusababisha moto huo kwa makusudi.
Soma Pia: Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles
"Baada ya dakika 20 hadi 30, mshukiwa alikamatwa katika eneo la Woodland Hills na wananchi. Hili linachunguzwa kama uhalifu," amesema Dinsel.
Ofisa huyo alipotakiwa kueleza moja kwa moja kama moto huo uliwashwa kwa makusudi, "Kwa sasa, tunaamini hivyo. Ndiyo."
Upepo ndio umesababisha moto kusambaza namna hiyoIla mji gani unaweza kuchomeka kijinga hivyo? Nyumba zaidi ya elfu 10? Duh!
Nyie mliofika huko,Ina maana maghorofa yote Yale ni mbao na karatasi!!??Nyumba zao za mbao tele na karatasi za gundi. Nadhani wanatumia siment kidogo sana