Marekani: Rais Biden apanga kuwateua mabalozi wapya kwa Tanzania, China na Japan

Ndoto yako haitatimia. It is a day dream. You are a day dreamer. Na akitoka ni kama Masilingi na Slaa walivyotoka huko walikokuwa. Muda wao kuisha.
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Hiwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
 
Mpuuzi wewe!!! Huyo balozi ni wa chama cha Republicans aliteuliwa na Trump. Biden anatakiwa ateue Mabalozi kutoka chama chake cha Democrats ili kuwakilisha USA katika nchi mbali mbali duniani, lakini mpuuzi wewe huelewi hilo unakuja humu na kuonyesha ujuha wako hadharani. 😳😳😳😳 muwe mnauliza kabla ya KUKURUPUKA.
Ndio imeshatokea
 
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kilicholalamikiwa na Serikali ya Tanzania.
Niko USAID jikoni USA iko pamoja Mandela...soon kitaeleweka udikteta tupa kulee....
 
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kilicholalamikiwa na Serikali ya Tanzania.
Uongo utakusaidia nini wewe kikongwe ?
 
Usilolijua ni usiku wa giza.

Unafikiri USA wanapeleka mabalozi au uubalozi ni cheo cha hisani au zawadi ya ustaafu kwa wazee??

Asilimia 95% ya mabalozi wa US huwa majasusi na wako pale kuserve interest za kiuchumi, kiusalama,kijamii na kiutawala kwa upande wa US so usifikiri wanakuja kimakosa au ni okota okota inafanyika
 
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na Serikali ya Tanzania.
Pumbafu Kabisa wewe
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kabisa. Hii ni political appointment ambapo Biden anaweka watu wataoendeleza ajenda yake. Mchakato wa kumpata ulianza zamani.

Amandla...
Achana na hayo aikili yake inaishia kwenye TOZO lumumba kijiwe cha kahawa....
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Usilolijua ni usiku wa giza.

Unafikiri USA wanapeleka mabalozi au uubalozi ni cheo cha hisani au zawadi ya ustaafu kwa wazee??

Asilimia 95% ya mabalozi wa US huwa majasusi na wako pale kuserve interest za kiuchumi, kiusalama,kijamii na kiutawala kwa upande wa US so usifikiri wanakuja kimakosa au ni okota okota inafanyika
hata Tanzania hufanya hivyo.
Jifunze zaidi
 
Kila Rais wa Marekani huwa anapenda kuweka mabalozi wake. Wright ni daktari wa binadamu na aliteuliwa na Trump. Hakuwa career diplomat. Jana Biden ametangaza watu wake kwa ajili ya Tanzania, China na Japan. Mulamula hahusiki katika mabadiliko haya.

Amandla ...
Sawa
 
Ndoto yako haitatimia. It is a day dream. You are a day dreamer. Na akitoka ni kama Masilingi na Slaa walivyotoka huko walikokuwa. Muda wao kuisha.
Wright alipitishwa kuwa balozi 2020 kwa hiyo hajakaa sana. Kwa sababu alikuwa ni balozi wa kisiasa basi inabidi ampishe mtu wa Biden. Hamna cha muda kuisha.

Amandla...
 
Kila Rais wa Marekani huwa anapenda kuweka mabalozi wake. Wright ni daktari wa binadamu na aliteuliwa na Trump. Hakuwa career diplomat. Jana Biden ametangaza watu wake kwa ajili ya Tanzania, China na Japan. Mulamula hahusiki katika mabadiliko haya.

Amandla ...

Halafu nchi yenyewe ya kudaiwa kufanya hivyo Marekani...LOL
 
Back
Top Bottom