Marekani: Rais Biden apanga kuwateua mabalozi wapya kwa Tanzania, China na Japan

Ndoto yako haitatimia. It is a day dream. You are a day dreamer. Na akitoka ni kama Masilingi na Slaa walivyotoka huko walikokuwa. Muda wao kuisha.
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Hiwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
 
Mpuuzi wewe!!! Huyo balozi ni wa chama cha Republicans aliteuliwa na Trump. Biden anatakiwa ateue Mabalozi kutoka chama chake cha Democrats ili kuwakilisha USA katika nchi mbali mbali duniani, lakini mpuuzi wewe huelewi hilo unakuja humu na kuonyesha ujuha wako hadharani. 😳😳😳😳 muwe mnauliza kabla ya KUKURUPUKA.
Ndio imeshatokea
 
Niko USAID jikoni USA iko pamoja Mandela...soon kitaeleweka udikteta tupa kulee....
 
Uongo utakusaidia nini wewe kikongwe ?
 
Usilolijua ni usiku wa giza.

Unafikiri USA wanapeleka mabalozi au uubalozi ni cheo cha hisani au zawadi ya ustaafu kwa wazee??

Asilimia 95% ya mabalozi wa US huwa majasusi na wako pale kuserve interest za kiuchumi, kiusalama,kijamii na kiutawala kwa upande wa US so usifikiri wanakuja kimakosa au ni okota okota inafanyika
 
Pumbafu Kabisa wewe
 
Reactions: BAK
Kabisa. Hii ni political appointment ambapo Biden anaweka watu wataoendeleza ajenda yake. Mchakato wa kumpata ulianza zamani.

Amandla...
Achana na hayo aikili yake inaishia kwenye TOZO lumumba kijiwe cha kahawa....
 
Reactions: BAK
hata Tanzania hufanya hivyo.
Jifunze zaidi
 
Sawa
 
Ndoto yako haitatimia. It is a day dream. You are a day dreamer. Na akitoka ni kama Masilingi na Slaa walivyotoka huko walikokuwa. Muda wao kuisha.
Wright alipitishwa kuwa balozi 2020 kwa hiyo hajakaa sana. Kwa sababu alikuwa ni balozi wa kisiasa basi inabidi ampishe mtu wa Biden. Hamna cha muda kuisha.

Amandla...
 

Halafu nchi yenyewe ya kudaiwa kufanya hivyo Marekani...LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…