Marekani: Rais Biden apanga kuwateua mabalozi wapya kwa Tanzania, China na Japan

Balozi Wright amefanya makosa ya kidiplomasia mara kadhaa this time amewekwa kati.
 
Kaweke kumbukumbu zako sawa
 
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.

Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu...
Huyu wa Tanzania, ni mchungaji wa kanisa la Mungu. Ana hofu ya Mungu lakini pia ni undercover agent
 
Ubalozi ni muda miaka 3 huyu alikuja tangu utawala Trump...kwa wenzetu mchakato wake atafika Tanzania Jan mwakani huyu akiwa 3 yrs tayari kuondoka..uteuzi wa Wright ilikuwa Nov 8 2019.
 
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.

Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu...
Kulingana na Maelezo hayo hapo juu inaonyesha huyo ni mtu wa dini dini hiv.which is good.
 
Ni kawaida kwani huyu wa sasa ni wa Trump sasa anaweka wa kwake ila sera za us ni zile zile
 
Ubalozi ni muda miaka 3 huyu alikuja tangu utawala Trump...kwa wenzetu mchakato wake atafika Tanzania Jan mwakani huyu akiwa 3 yrs tayari kuondoka..uteuzi wa Wright ilikuwa Nov 8 2019.
Vijana wa CCM ni shida. Kutoka Nov 8, 2019 hadi Jan, 2022 ndio miaka 3 itakuwa imekamilika?
 
Yaani Tanzania ndio inakemea ugaidi alafu Marekani wanasapoti ugaidi waziwazi au vipi mtoa mada?
Ni kuwa Balozi wa Marekani alikuwa anasupport Mbowe ndo maana naye akajichanganya akaenda mahakamani kusikiliza mwenendo wa kesi ya Mbowe. Tanzania ililalama kuhusu kitendo hicho kisicho cha kidiplomasia na sasa wamemng'a huyo balozi
 
Kwanza wale mabalozi wapumbavu wangefukuzwa maana Magu aliwahi mtimua balozi wa Umoja wa Ulaya
 
Nchi sio chadema kwamba mnapangiwa na Mbowe,tulifukuza balozi wa EU watakuwa hao wapuuzi?
 
Kwa hiyo na yule balozi wa Tanzania US aliyeapishwa jana na Samia ni mipango ya waziri wa Mambo ya nje wa US??! Akili za mataga buana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…