Katika majaribio ya dawa kinachomatter ni muda au ni matokeo?Kama majaribio yamefanyika kwa muda mfupi na matokeo yakawa positive, huo muda mrefu unaoutaka wewe ni wa kazi gani?
Chanjo ambazo zimeathiri watu ni chanjo chache sana kama vile Astrazeneca na Jonson & johnson lakini kuna chanjo kibao kama vile Sputnik,moderna,BioNtech,sinopharm,sinovac,adenovirus na kadhalika ambazo wala hazijaleta shida.Hatuwezi kutumia chanjo mbili ambazo zimeleta shida na tena shida hizo zimeshatatuliwa tayari kumake conclusion kuwa chanjo zote ni mbaya.Huu utakuwa ni ujinga.
Wananchi wanaotumia chanjo siyo wataalam wa madawa,hawawezi kutumika kufanya maamuzi kuwa chanjo fulani ni bora na chanjo nyingine siyo bora.Wananchi wanaotumia chanjo wao wana changamoto zao kwenye chanjo hizi kama vile viwango duni vya elimu,tamaduni mbaya kwenye madawa na kadhalika kwa hiyo hawana utaalam wa madawa na wala hawawezi kutumika katika kuamua kuwa chanjo hazifai.