Marekani: Rais Samia akutana na CEO wa NGO ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation

Marekani: Rais Samia akutana na CEO wa NGO ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na HIV hasa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation, Charles Lyons.

EGPAF iliasisiwa mwaka 1988 na taarifa za mwisho zilizo kwa umma zinaonesha mwaka 2014 ilikuwa mapato na matumizi ya dola milioni 126 kwenye nchi 17.

Samia Suluhu.jpg
 
25 June 2014
Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation, EGPAF

INSIGHT: Charles Lyons - President & CEO, Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation

 
Hii ziara imeshakuwa ya hovyo. Ningependa rais sasa aanze kutafuta majibu ya changamoto za Tanzania ndani ya nchi. Marekani haiwezi kuwa na majibu na kila anapoweka mguu Mmarekani kila kitu kinaparaganyika, Iraq, Libya, Afghanistan, Syria, Ukraine. ... sisi tuna tofauti gani hadi Mmarekani atuonee huruma. Rais anaenda nje ya nchi kuonana na NGO?
 
Back
Top Bottom