Hii ziara imeshakuwa ya hovyo. Ningependa rais sasa aanze kutafuta majibu ya changamoto za Tanzania ndani ya nchi. Marekani haiwezi kuwa na majibu na kila anapoweka mguu Mmarekani kila kitu kinaparaganyika, Iraq, Libya, Afghanistan, Syria, Ukraine. ... sisi tuna tofauti gani hadi Mmarekani atuonee huruma. Rais anaenda nje ya nchi kuonana na NGO?