Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Kwanini unacheka Mkuu?Ilibidi nicheke tu
View attachment 3515273
Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani.
Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kwamba, badala ya kupiga hatua kuelekea amani, Rwanda inaongoza eneo hilo kuelekea ukosefu wa utulivu na vita.
Pia amesema Marekani ina wasiwasi mkubwa na inazidi kukatishwa tamaa kwa kuzuka upya kwa ghasia Mashariki mwa Kongo.
Waltz anadai kuwa vikosi vya ulinzi vya Rwanda vimetoa msaada wa vifaa, mipangilio na mafunzo kwa M23 pamoja na kuisadia vitani. Hata hivyoRwanda imeendelea kukanusha kuliunga mkono kundi hilo la waasi. Chanzo.DW Kiswahili
Angalau Marekani wanaongeza ukweli kwa kiasi kikubwa juu y sakata la DRC.Divide and Rule
USA ndiye master mind wa hiyo game waache kucheza na Akili za watu
Period
Ana tuzuga tu 😀Angalau Marekani wanaongeza ukweli kwa kiasi kikubwa juu y sakata la DRC.
Ili?Wavamie Kigoma pale
Rwanda sio Russia, Kama Russia, ilivyoivamia ukraine, Rwanda haina uwezo wa kiuchumi wa kuendesha Vita ndani ya DRC bila Msaada wa, kifedha, ki logistic, kutoka mataifa, makubwa, na, makampuni makubwa, wanapata pesa ya kuendesha Vita kutokana naauzo ya madini ya Congo, cobalt, platinum, uranium nk, Rwanda hawachakati hayo madini, wanayauza nje, hao wanaonunua ndio wanataka Vita uendelee, Trump anajua, Macron anajua, Africa inajua, Anayechezwa shele ni Tchisekedi Rais wa, Congo,View attachment 3515273
Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani.
Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kwamba, badala ya kupiga hatua kuelekea amani, Rwanda inaongoza eneo hilo kuelekea ukosefu wa utulivu na vita.
Pia amesema Marekani ina wasiwasi mkubwa na inazidi kukatishwa tamaa kwa kuzuka upya kwa ghasia Mashariki mwa Kongo.
Waltz anadai kuwa vikosi vya ulinzi vya Rwanda vimetoa msaada wa vifaa, mipangilio na mafunzo kwa M23 pamoja na kuisadia vitani. Hata hivyoRwanda imeendelea kukanusha kuliunga mkono kundi hilo la waasi.
Chanzo. DW Kiswahili
Uko sahihi mkuu, hata huyo rais wao anafaidika na hii vita kuliko kungekuwa na amani. Sema kosa alilolifanya ni kwenda kuiomba marekani usaidizi, kwa akili yake akiendelea kuukuza huu mgogoro watamla kichwa. Ila pia kama viongozi wa ukanda huu na huu umoja wao hewa ungekuwa hauendekezi unafki huu mgogoro ungeshaisha ila kwa sababu kila kiongozi anapokea bahasha basi hakuna anaeongelea tatizo bali wanaongelea madini. Na hili la kuwagawanya viongozi wao wanalifanya makusudi. Rais badala atengeneze jeshi imara anawapa raia bunduki. Kama kuna kipindi 🇹🇿 inatakiwa kuwa macho ni sasa. Hizi bunduki baada ya vita kumalizika zitaenea mpaka huku.usichojua ni kwamba
TRUMP kasaini DEAL na KAGAME deal kubwa la 40% kwa 60%
anachofanya TRUMP ni kutuchezea akili anadhami watu ni watoto wadogo
kile walichokubaliana na KAGAME anakifahamu
yake makaratasi waliotunesha makubaliano ya kumaliza vita ni ujinga
KAGAME si mpuuzi hvyo aingie makubaliano na MAREKANI kisha ageuke
muda si mrefu MAREKANI atajitia kwenda kulinda kile atakachokiita UKWIUKAJI WAMAKUBALIANO CONGO
kama kweli alikuwa na nia ya AMANI africa kwanza angewaita WASUDANI wakae chini wayamalize kati ya RSF na SAF kule ndiko kunahitaji msaada wa haraka zaidi wa AMANI
Vita CONGO haiwezi kuisha mpaka kwanza wenyewe WACONGO watakapoungana na kuwa kitu KIMOJA na kuacha kuamini MATAIFA kutoka nje watamaliza hvyo VITA
hayo mataifa huko nje wanafuata RASILIMALI hata wale MUNOSCO wanajeshi wanasikitika MAJESHI kuondolewa
mana ZAMANI ilikuwa ukienda CONGO kulinda AMANI ukirudi basi mwanajeshi lazima ujenge bonge la JUMBA na ufungua biashara ndio mana kila MWANAJESHI alikiwa anatamani kwenda CONGO kulinda AMANI
sasa unadhani kwamantiki hii kuna anayetamani VITA iishe kutoka CONGO kwa mataifa yanayotoka nje kujidai kwemda kulinda AMANI CONGO