MAREKANI: Rwanda inahatarisha Usalama wa eneo la Afrika Mashariki

MAREKANI: Rwanda inahatarisha Usalama wa eneo la Afrika Mashariki

Non-factual information! Yaani wewe kipindi wanasaini ulikuwa bongo, we ulijuaje kama Trump na Kagame wana dili lao kivyao?
usichojua ni kwamba
TRUMP kasaini DEAL na KAGAME deal kubwa la 40% kwa 60%

anachofanya TRUMP ni kutuchezea akili anadhami watu ni watoto wadogo
kile walichokubaliana na KAGAME anakifahamu

yake makaratasi waliotunesha makubaliano ya kumaliza vita ni ujinga
KAGAME si mpuuzi hvyo aingie makubaliano na MAREKANI kisha ageuke

muda si mrefu MAREKANI atajitia kwenda kulinda kile atakachokiita UKWIUKAJI WAMAKUBALIANO CONGO
 
Rwanda wanajielewa hawana RASIMALI za kutosha lakini jirani anazo, hasaidii wananchi wake kunufaika nazo kwa Nini M23 wasiingize kuchukua mzigo

Hata hapa TZ ipo siku M23 itazaliwa maana RASIMALI zilizopo hazimsaidii Mwananchi masikini kupunguza ugumu wa Maisha Bali zinauzwa kama njugu...hii Hali itafikia hatua watu watachoka na wakichoka hizo risasi zenu hazitawatisha tena ndiyo hapo utakuta ndani ya Jeshi uasi utakapotokea na ukitokea uasi ndani ya Jeshi basi tumekwisha
Mdhamini wa M23 ni USA na Ufaransa na Kagame ndio msimamizi wao

Na Sasa M23 inaandaliwa kuingia Tanzania sio Kwa manufaa yako Wala Kwa manufaa ya kizazi chako ila ni Kwa manufaa ya Marekani

Marekani wanawapenda sana mazezeta kama wewe Ili muwe ndio daraja lao kama vile mazezeta wa LIBYA walivyofanywa daraja

Ila Kwa Tanzania tuliyosoma Cuba topo wengi hawatafanikiwa na nyenye mazezeta wao mtatangulia kuzima Kwa manufaa ya kizazi cha Leo na kijacho Cha Tanzania
 
Mimi nafikiri Kuna haja ya kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusiana na hilo.

Kama haya mambo ya ufisadi, Kuteka na kuua, RASIMALI za nchi zikauzwa kama njugu, RASIMALI za nchi badala ya kuongeza Ajira na kupunguza ugumu wa Maisha zikafanya kuongezeka, n.k. tegemea hiyo M23 kuingia TANZANIA kukiwasha...maana usifikiri zile Rolls Roys, G. Wagon, Mtoto wa Mkurugenzi wa TISS kuwalingishia watoto wa masikini madolari ukafikiri watanganyika wanayapenda hayo mambo.

Ajira za Gen Z kwa sasa ni Betting badala ya kuongeza fursa za ajira kwa Rasimali zilizopo sisi tunaziuza kwa bei chee kwa lugha ya uwekezaji.

Kwanini tusiunde strong institutions ya KUSIMAMIA RASIMALI zetu vizuri ambazo zitasaidia kupunguza ugumu wa Maisha kwa mtanzania kama vile kupata huduma za MRI na CT SCAN kwa bei ya Elfu 5 na hizi MRI na CT SCAN zikapatikana katika kituo cha afya vijijini kabisa, kwanini tunakimbilia kununua Magari ya Milioni 500 Magari 1000 kwanini hiyo hela isinunue CT SCAN NA MRI???

MWANZO WA UASI UNAPOANZA, VIJANA WA GEN Z TAREHE 29 OKTOBA WALIKOSA SILAHA ZA MOTO, SASA SIKU WAKIZIPATA NA WAKIUNGANA NA GEN ALPHA NA GEN BETA...NADHANI UNAJUA KITAKACHOTOKEA.
 
Non-factual information! Yaani wewe kipindi wanasaini ulikuwa bongo, we ulijuaje kama Trump na Kagame wana dili lao kivyao?
Una uelewa gani kuhusiana na DECODE DIARY
ushawahi kuziona PICHA za BILLY CLINTON akila bata na MONICA

Ushawahi kuziona picha BILLY CLINTON akiwa katika PRIVATE JET na MICHAEL JACKSON na wachumba KIBAO wakila bata kipindi akiwa RAISI

DUNIA haiendi unavyotaka wewe DUNIA inaenda wanavyotaka wao
kuna OPTION mbili baki na DINI yako na MUNGU wako tena umshike kwelikweli usiwe mnafiki

ama JOIN katika MELI YA KIFAHARI
CLUISE SHIP ya SHETANI mkuu ule maisha
 
Back
Top Bottom