Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
usichojua ni kwamba
TRUMP kasaini DEAL na KAGAME deal kubwa la 40% kwa 60%
anachofanya TRUMP ni kutuchezea akili anadhami watu ni watoto wadogo
kile walichokubaliana na KAGAME anakifahamu
yake makaratasi waliotunesha makubaliano ya kumaliza vita ni ujinga
KAGAME si mpuuzi hvyo aingie makubaliano na MAREKANI kisha ageuke
muda si mrefu MAREKANI atajitia kwenda kulinda kile atakachokiita UKWIUKAJI WAMAKUBALIANO CONGO
Mdhamini wa M23 ni USA na Ufaransa na Kagame ndio msimamizi waoRwanda wanajielewa hawana RASIMALI za kutosha lakini jirani anazo, hasaidii wananchi wake kunufaika nazo kwa Nini M23 wasiingize kuchukua mzigo
Hata hapa TZ ipo siku M23 itazaliwa maana RASIMALI zilizopo hazimsaidii Mwananchi masikini kupunguza ugumu wa Maisha Bali zinauzwa kama njugu...hii Hali itafikia hatua watu watachoka na wakichoka hizo risasi zenu hazitawatisha tena ndiyo hapo utakuta ndani ya Jeshi uasi utakapotokea na ukitokea uasi ndani ya Jeshi basi tumekwisha
Mdhamini wa M23 ni USA na Ufaransa na Kagame ndio msimamizi wao
Na Sasa M23 inaandaliwa kuingia Tanzania sio Kwa manufaa yako Wala Kwa manufaa ya kizazi chako ila ni Kwa manufaa ya Marekani
Marekani wanawapenda sana mazezeta kama wewe Ili muwe ndio daraja lao kama vile mazezeta wa LIBYA walivyofanywa daraja
Ila Kwa Tanzania tuliyosoma Cuba topo wengi hawatafanikiwa na nyenye mazezeta wao mtatangulia kuzima Kwa manufaa ya kizazi cha Leo na kijacho Cha Tanzania
Una uelewa gani kuhusiana na DECODE DIARYNon-factual information! Yaani wewe kipindi wanasaini ulikuwa bongo, we ulijuaje kama Trump na Kagame wana dili lao kivyao?