Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

Nafuatilia kila kinachojiri ila kila nikiingia jamiiforums naona watetezi wa Marekani wanaongea ujinga tu huku wameweka pamba masikioni...

Katika maswala ya kijeshi kuna mistari Urusi akikiwekea usijaribu kuivuka!
Yes, kumbuka hata wakati wa Rais Trump, Rais Putin alimwambia mmewashughulikia Iraq na Libya nimewaacha huku nikijua manafanya makosa. Akasema Safari hii mikitaka kumshughulikia Syria na Venezuela nitaingilia kati tena kwa nguvu zangu zote!
 

Silaha zake zina kazi gani?
 
Baadae Joe anahutubia Taifa Kuhusu hii issue ya Russia, kiukweli US anaionea huruma hiyo Russia.

Na wewe unaweza kucheka,angalia hizi kejeli zenye ukweli Kuhusu Russia 😆😆

 
Unarahisisha duh eti Russia atapigwa na Marekani.
Kwenye hili Kuna kitu hiki Cha Vita ya us na Russia Kiitwacho mutual destruction ikiwa na maana rahisi ya kutokupatkana kwa mshindi was Vita hi lakini kuangamia kwa mataifa hayo na dunia nzima
Saizi atapigwa na vikwanzo kwanza afu waone

 
Aache uoga🤣
 
ita ni mbaya tena huyo usiiombe kwa binadamu yoyote duniani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu alivyo mpuuzi sasa anawaambia anawaombea wa ukraine baada ya kuwaingiza matatani
 
Timu America mnalipi la kusema tuliwambia Russia nitidhio kipindi cha vita ya Syria mkasema hana kitu subiri tuone ni umbwa gani ataenda kubweka Russia wote wataufyata kwani wanajua jamaa atakuwa anapiga moja kwa moja wakizingia anawasha Nuke.
 
Kiukweli Urusi ikiingia kazini lazima upate hekima hata ya kukopa maana usipokuwa na hekima utachakaa.
 
Russia hana cha kupoteza. Uchumi wake wa kichovu. Watu kwenye nchi nyingi duniani wakipewa option ya wapi wakatafute maisha Kati ya nchi hizo mbili unajua wapi watapochagua.

Hata wale Pro-Russia
Baada ya Putin kuwazabua ndo mmegundua sasa hivi kwamba mna maisha mazuri tulieni mshikishwe adabu
 
Biden ana akili, anajua anachofanya urusi hata yeye angefanya kama angekuwa urusi.

Pia anatambua ukubwa wa maafa kwa dunia iwapo atachagua kupambana kiuita na urusi kwani wote wana nukilia.
 
Biden ana akili, anajua anachofanya urusi hata yeye angefanya kama angekuwa urusi.

Pia anatambua ukubwa wa maafa kwa dunia iwapo atachagua kupambana kiuita na urusi kwani wote wana nukilia.
Mtu kazidiwa kete tu.......akili ndo wamezipata leo....huko kwa wakina iraq, syria , Iibya walikua vichaa?
 
Baadae Joe anahutubia Taifa Kuhusu hii issue ya Russia, kiukweli US anaionea huruma hiyo Russia.

Na wewe unaweza kucheka,angalia hizi kejeli zenye ukweli Kuhusu Russia 😆😆

View attachment 2128714
Hizi kejeli Sasa zimetuonesha halihalisi kua west si lolote so chochote kwa uchumi wao wa kwenye makaratasi.
Viwanda Sasa vimeanza kufungwa na watu wao wameanza kuandamana.
Pia matumizi ya Kuni yaanza upya Huku Urope.
 
Hahahahah! Dah imenibidi nicheke kwanza!

Russia Russian Russia nimekuita mara tatu, utazidi kuwa mshindi
Unaishabikia nchi inayoharibia wenzake maisha yao??
Kweli ipo kama hata kwenu mko kama warusi ukiona jirani anaendelea mnaenda kumfungia koki zote anabaki maskini usishabikie mateso ya mtu ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…