Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

Iran hawezi kushinda hii vita, lakini kikubwa zaidi IRANI hawezi kushindwa hii vita hivyo US/ISRAEL na NATO hawezi kumshinda IRAN, vita sio kurusha ndege vita ni endurance ambayo maadui za Iran hawana hivyo no one can enter Iran and win ever
Ni sahihi lakini itakapofikia hatua ya Cease fire na Utaratibu wa kiUTawla
ukawekwa sawa; Iran itakuwa imenyong'onyeshwa(Incapacitated) kiasi kwamba Iran itakuwa sio ile Iran tulioifahamu awali.
 
Hivi naomba kuuliza.mi sio mjuzi wa haya mambo.Kwanini Iran hawezi kushambulia Moja Kwa moja marekani kama anavyoshambuliwa?
Yani apige kule New York,Las Vegas nk.
Nyuma nliona anashambulia military bases labda Kwa Nia ya kumdhoofisha.why hafiki kule?
Hata Marekani haishambulii Iran kutokea kwake Marekani, anaishambulia kutoka kambi zake zilizoko hapo Middle east, ndio maana Iran anazilienga. Pia Marekani ni mbali sana,makombora yanayohitajika kushambulia kutokea Iran ni ya masafa marefu sana.
 
Nasisi walitaka kutuweka majaribun kwa kutaka kuweka kambi ya kijeshi pale kigambon, tukagoma, angalau tulikuwa na akili
Kuna kambi ya jeshi la Marekani hapo Lamu, hata sio mbali kwahiyo hatujaponeka na chochote. Pili Iran hawezi kushambulia kambi za jeshi za Marekani huku Afrika,hataki uadui wa kujitafutia maana akishambulia wanaokufa sio wanajeshi tu hata raia wa kawaida, hakuna umuhimu wa kutafuta maadui wapya huku Afrika.
 
Yeah. Ni sahihi, na kwa sasa Africa ndo imebaki haijamkoromea Iran.
 
Wakati ule Iran anarusha makombola israel ilitakiwa apige pigo moja takatifu kama alivyofanya marekani kule japan.
Kha! Usidhani huwa ni rahisi kiviile. Vita ina utaratibu wake Kisheria na Kimataifa.Na ndo mana kuna Mhakama ya kimataifa inayoshughulikia makosa ya kivita - Sio kujipigia tuu na Kuua watu hovyo - hapana...
 
Nasisi walitaka kutuweka majaribun kwa kutaka kuweka kambi ya kijeshi pale kigambon, tukagoma, angalau tulikuwa na akili
Unaamini kungekuwa na umuhimu mkubwa kwao hao US kuwa na kambi kigamboni viongozi wangekuwa bado na huo msimamo wa kuwagomea?
 
Hata Marekani haishambulii Iran kutokea kwake Marekani, anaishambulia kutoka kambi zake zilizoko hapo Middle east, ndio maana Iran anazilienga. Pia Marekani ni mbali sana,makombora yanayohitajika kushambulia kutokea Iran ni ya masafa marefu sana.
I get it now
Na Iran hawana military bases za kushambulia karibu na marekani?
 
Iran haina washirika waliopo karibu na US , US ana kambi za kijeshi nyingi mashariki ya kati a duniani kote ambapo hurusha ndege vita na kuishambulia Iran... standoff strike....

Saudia , Qatar, Bahrain , Jordan ,Iraq nakdhalika hizo nchi zote zina kambi za US, na nchi hizo zipo karibu na US...

Iran nayo ingalikuw na kambi zake South America, Canada , ama nchi yeyote iliyopo karibu na US basi wangeshambulia ndani ya US...

Kwa kulitambua hilo Iran wanafanya mashambulizi kwenye kambi za Marekani zilizopo Gulf ambazo zipo karibu yake...

Kambi nyingi za US mashariki ya kati zimefungwa na askari hawapo, inactive... zimeshambuliwa...

Ukisema kuishambulia US ndani, tunazungumza kutumia Intercontinental Ballistic Missile, missile iruke kilomita 10000 ama zaidi... Ama Iran iwe na bomber, ndege kama B2...

US inashirikiana na nchi nyingi kwenye masuala ya kulinda anga, wana integrated air defense... Iran hata kama wakirusha missile yenye range ya 10000 KM bado US itapata taarifa mapema kutoka kwa washirika wake kabla hata haijafika US...

Mwisho wa yote Iran kwa teknolojia yake ya missile wana uwezo mzuri tu kurusha missile ikaingia US, lakini gharama itakayotumika ni kubwa kuliko damage itakayofanya, nikiwa namaanisha kombora la 10000 KM at least liwe ni tactical nuclear... ni kama upande gari nauli Tsh 5000 unakwenda kununua bidhaa kwa Tsh 1000, ambapo hio bidhaa hapo unapoishi inauzwa Tsh 1500...

Iran missiles zake zimetengenezwa kwa range ya kufika popote ndani ya mashariki ya kati...
Asante Kwa ufafanuzi mkuu
 
Cuba si ni mshikaji wao kwa nini wasithubutu kwenda kupiga kambi hapo Cuba basi maanake ni kilomita 145 tu kufika Marekani.
1960s ilibaki kidogo sana Russia /USSR na US wazichape..

Kisa ni USSR kuiwezesha Cuba kwa silaha..

US walifunga njia baharini wakiweka mstari wa meli tayari kwa lolote, ili wazuie meli za USSR zilizokuwa na silaha zisifike Cuba..

Meli za USSR zilisogea karibu, ndipo Nikita Khruschev akatoa order kwamba wageuze meli , lakini vita ya nyuklia ilikuwa inanukia...

Ilibaki kidogo sana...

Russia ilitoa makombora yake yaliyokuwepo Cuba... na US wakatoa makombora yao yaliyokuwepo Russia..
 
Hebu fafanua vizuri makombora ya USA yalikuwa Uturuki au Russia?
 
1960s ilibaki kidogo sana Russia /USSR na US wazichape..

Kisa ni USSR kuiwezesha Cuba kwa silaha..

US walifunga njia baharini wakiweka mstari wa meli tayari kwa lolote, ili wazuie meli za USSR zilizokuwa na silaha zisifike Cuba..

Meli za USSR zilisogea karibu, ndipo Nikita Khruschev akatoa order kwamba wageuze meli , lakini vita ya nyuklia ilikuwa inanukia...

Ilibaki kidogo sana...

Russia ilitoa makombora yake yaliyokuwepo Cuba... na US wakatoa makombora yao yaliyokuwepo Russia..
The Cuban Missile Crisis.
 
Back
Top Bottom