Marekani: Twitter yapigwa faini ya tsh. 349,050,000,000 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za watumiaji

Marekani: Twitter yapigwa faini ya tsh. 349,050,000,000 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za watumiaji

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Kampuni ya Twitter nchini Marekani mapema wiki hii, imepigwa faini ya Tsh. bilioni 349,050,000,000 sawa na dola Milioni 150 za Marekani, baada ya kudaiwa kutumia kinyume cha sheria taarifa za wateja wa mtandao huo wa kijamii

Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema kwamba Twitter ilikiuka makubaliano iliyokuwa nayo na wadhibiti ya kutotoa taarifa za kibinafsi za wateja kama vile nambari za simu na anwani za barua pepe kwa makampuni ya matangazo.

Twitter kuanzia mwaka 2013 inadaiwa ilianza kuwauliza watumiaji kutoa nambari ya simu au barua pepe ili kuboresha usalama wa akaunti lakini ikaishia kuuza taarifa hizo kwa makampuni ya matangazo, vilevile mwaka 2020 ilipigwa faini ya Tsh. 1,175,515,697.20 sawa na Paundi 400,000 kwa kuvunja sheria za faragha za taarifa za General Data Protection Regulations za Ulaya.

.............................................

Twitter in the US must pay a $150m (£119m) fine after law enforcement officials accused it of illegally using users' data to help sell targeted ads.
The Federal Trade Commission (FTC) and the Department of Justice say Twitter violated an agreement it had with regulators, court documents showed.
Twitter had vowed to not give personal information like phone numbers and email addresses to advertisers.

Federal investigators say the social media company broke those rules.
Twitter was fined £400,000 in December 2020 for breaking Europe's GDPR data privacy rules.
The FTC is an independent agency of the US government whose mission is the enforcement of anti-trust law and the promotion of consumer protection.

It accuses Twitter of breaching a 2011 FTC order that explicitly prohibited the company from misrepresenting its privacy and security practices.

The BBC is not responsible for the content of external sites.View original tweet on Twitter
Twitter generates most of its revenue from advertising on its platform, which allows users ranging from consumers to celebrities to corporations to post 280-character messages, or tweets.

According to a complaint filed by the Department of Justice on behalf of the FTC, Twitter in 2013 began asking users to provide either a phone number or email address to improve account security.

"As the complaint notes, Twitter obtained data from users on the pretext of harnessing it for security purposes, but then ended up also using the data to target users with ads," said Lina Khan, who chairs the FTC.

"This practice affected more than 140 million Twitter users, while boosting Twitter's primary source of revenue."

Source: BBC
 
Kwahio Bwan Elon anauziwa na deni au?
Ila nahisi huyu jamaa akinunua Twitter ndio iakuwa inakula faini sana
 
mgao kwa samia utakua sh ngapi? manake namimi nimepokea matangazo ya ajabu ajabu
 
Kwahyo hata haya makampuni yetu ya simu yatakuwa pia yanauza namba zetu maana matangazo yamekuwa mengi sn unakuta laini mpya unaweka tu kwenye simu tangazo linaingia
 
Tanzania ukifanya hivyo unaambiwa unaminya uhuru
 
kwa hio sisi wateja hatupewi mgao hata kidogo ?

halafu na mwandishi hata yeye hajui ni shilingi ngapi amekopi namba tu kutoka kwenye calculator 😁
 
Back
Top Bottom