Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

Uko sahihi kabisa mahali popote lazima kuwe na kiongozi,dunia Kwa ujumla kuongozi ni marekani Kwa sasa,,siku za nyuma hata tangu Enzi za biblia walikuwepo TAIFA kiongozi,bila marekani yangeibuka mataifa kulazimisha wote kufuata dini zao,kufuata Siasa zao,kufuata mifumo Yao ya kiuchumi.n.k
 
dudus, Hizo ni porojo zako, Putin harusu ushoga, kama mashoga huwaga wanakimbia na kwenda kuomba hifadhi Europe, nyinyi mashoga mna shida sana kwakweli, mnapata wapi ujasiri wa kuingiliana wanaume kwa wanaume ??
 
Halafu anavyoongea utadhani hao anaowashabikia hakuna mashoga. Russia imeruhusu ushoga hadi age 14 wanaweza kupakuana kama kawaida.
Hao ni wanaume wa wa NATO lakini Urusi hakuna huo upuuzi kama unaweza thibitisha! Kama mnapakuana at 14 yrs ni huko kwenu NATO msipakazie wengine na ndo maana USA kapeleka jeshi Somali tena kwa mbwembwe na dunia inajua lakini kwa wanaume kule Urusi wanapeleka silaha lakini siyo wanajeshi na wakiwapeleka ni wakati wa usiku wa manane maana wanajua kuwa mrusi akijua ni mwendo wa kupakuliwa marinda
 
Nilijua tu unatetea ushoga, je unajua mm naishi wapi, usitete ushoga kijana sisi waafrika hatuna desturi za kufirana, Laana ya Mungu ikutangulieni mashoga
Kuchinja watu na kujilipua mabomu ufe na wengi bila kujali watoto na wakubwa ni dhambi ndogo ila ushoga ndio kubwa

Kwani Ushoga kwa mara ya kwanza Afrika ulilipotiwa kusambazwa hasa na wafanyabiashara waarabu na yapo maandishi yanayoelezea jinsi Hadi mtawala wa Buganda alivyoanza funzwa na wafanyabiashara hao waarabu

Hivi ni uongo kwamba hakuna sehemu iliyojaa mambo hayo kama uarabuni

Hauna tofauti na wale wanaohalalisha dhambi kubwa na ndogo dhambi ni dhambi tu
 
Nakupa home work, Toka nenda marekani kaseme mm ni shoga naomba ukimbizi alaf hapohapo toka nenda arabuni kaseme tena mm ni shoga naomba ukimbizi[emoji23][emoji23]
 
Mbona china kajaribu mwaka jana hadi wamarekani wakatetemeka kwa walichoshuhudia.
 
Mbona china kajaribu mwaka jana hadi wamarekani wakatetemeka kwa walichoshuhudia.
Wanasema marekani ndio mtu wa kwanza [emoji1] wanasahau Russia na china washajaribu kitambo tena Russia yeye kajaribu kwenye operation ikapiga handaki la silaha kabisa[emoji848][emoji1]
 
Wanasema marekani ndio mtu wa kwanza [emoji1] wanasahau Russia na china washajaribu kitambo tena Russia yeye kajaribu kwenye operation ikapiga handaki la silaha kabisa[emoji848][emoji1]
Kabisa yaani, Urusi kashajaribu sana hizo vitu, China alipojaribu marekani mwenyewe alipiga kelele
 
Nakupa home work, Toka nenda marekani kaseme mm ni shoga naomba ukimbizi alaf hapohapo toka nenda arabuni kaseme tena mm ni shoga naomba ukimbizi[emoji23][emoji23]
Tatizo kubwa utakapoenda jitangaza STRUGGLE MAN kuwa wewe ni shoga Marekani utakubaliwa kwa uwazi uarabuni hayo mambo yanafanyika chinichini

Yaani ni sawa kujionesha kwa nje huu msafi wakati ndani umeoza
 
Sio mtazamo wako boss ni mtazamo wa maandiko
 
MMbona Jim
Mbona kama imelipuliwa kutokea kwenye banda la nguruwe.
 
Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
Acha mihemko... Unatatalika kama mabisi vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…