Me kitabu cha daniel ilishatabiriwa na pia ilitabiriwa ndio taifa litakalokamilisha unabii wa siku za mwisho,ulimwengu utakapokuwa unafikia ukingoniUsa ndio dola lenye nguvu kuliko yote duniani na biblia ilishatabiri nenda kaso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me kitabu cha daniel ilishatabiriwa na pia ilitabiriwa ndio taifa litakalokamilisha unabii wa siku za mwisho,ulimwengu utakapokuwa unafikia ukingoniUsa ndio dola lenye nguvu kuliko yote duniani na biblia ilishatabiri nenda kaso
So, according to de Rham, the only thing capable of traveling faster than the speed of light is, somewhat paradoxically, light itselfKaangalie laser weapons
Uko sahihi kabisa mahali popote lazima kuwe na kiongozi,dunia Kwa ujumla kuongozi ni marekani Kwa sasa,,siku za nyuma hata tangu Enzi za biblia walikuwepo TAIFA kiongozi,bila marekani yangeibuka mataifa kulazimisha wote kufuata dini zao,kufuata Siasa zao,kufuata mifumo Yao ya kiuchumi.n.kHii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Hao ni wanaume wa wa NATO lakini Urusi hakuna huo upuuzi kama unaweza thibitisha! Kama mnapakuana at 14 yrs ni huko kwenu NATO msipakazie wengine na ndo maana USA kapeleka jeshi Somali tena kwa mbwembwe na dunia inajua lakini kwa wanaume kule Urusi wanapeleka silaha lakini siyo wanajeshi na wakiwapeleka ni wakati wa usiku wa manane maana wanajua kuwa mrusi akijua ni mwendo wa kupakuliwa marindaHalafu anavyoongea utadhani hao anaowashabikia hakuna mashoga. Russia imeruhusu ushoga hadi age 14 wanaweza kupakuana kama kawaida.
Mara 25 ya mwanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamna kitu kinafikia speed ya light (electromagnetic wave) chenye uzito hspa kwenye ulimwenguKumbe ndo wanatesti alafu ya urusi inaenda mara 5 mpaka 25 ya mwanga
Kuchinja watu na kujilipua mabomu ufe na wengi bila kujali watoto na wakubwa ni dhambi ndogo ila ushoga ndio kubwaNilijua tu unatetea ushoga, je unajua mm naishi wapi, usitete ushoga kijana sisi waafrika hatuna desturi za kufirana, Laana ya Mungu ikutangulieni mashoga
Nakupa home work, Toka nenda marekani kaseme mm ni shoga naomba ukimbizi alaf hapohapo toka nenda arabuni kaseme tena mm ni shoga naomba ukimbizi[emoji23][emoji23]Kuchinja watu na kujilipua mabomu ufe na wengi bila kujali watoto na wakubwa ni dhambi ndogo ila ushoga ndio kubwa
Kwani Ushoga kwa mara ya kwanza Afrika ulilipotiwa kusambazwa hasa na wafanyabiashara waarabu na yapo maandishi yanayoelezea jinsi Hadi mtawala wa Buganda alivyoanza funzwa na wafanyabiashara hao waarabu
Hivi ni uongo kwamba hakuna sehemu iliyojaa mambo hayo kama uarabuni
Hauna tofauti na wale wanaohalalisha dhambi kubwa na ndogo dhambi ni dhambi tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16], hawa jamaa sio tu mataahira ila ni mambumbumbuTaira kabisa ivi nyie pro NATO mnaakili kweli au mmeziweke mgongoni
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Mbona china kajaribu mwaka jana hadi wamarekani wakatetemeka kwa walichoshuhudia.Itakumbukwa kwamba Putin alisema hii ni silaha ambayo haipo katika taifa lolote isipokuwa Russia, nadhan sasa yametimia
Al Jazeera English
The United States Air Force says it has conducted a successful test of a hypersonic weapon, which flew at five times the speed of sound.
The test was conducted on Saturday off the coast of Southern California when a B-52 bomber released an Air-launched Rapid Response Weapon (ARRW), the Air Force said in a statement on Monday.
View attachment 2228170
Wanasema marekani ndio mtu wa kwanza [emoji1] wanasahau Russia na china washajaribu kitambo tena Russia yeye kajaribu kwenye operation ikapiga handaki la silaha kabisa[emoji848][emoji1]Mbona china kajaribu mwaka jana hadi wamarekani wakatetemeka kwa walichoshuhudia.
Kabisa yaani, Urusi kashajaribu sana hizo vitu, China alipojaribu marekani mwenyewe alipiga keleleWanasema marekani ndio mtu wa kwanza [emoji1] wanasahau Russia na china washajaribu kitambo tena Russia yeye kajaribu kwenye operation ikapiga handaki la silaha kabisa[emoji848][emoji1]
Tatizo kubwa utakapoenda jitangaza STRUGGLE MAN kuwa wewe ni shoga Marekani utakubaliwa kwa uwazi uarabuni hayo mambo yanafanyika chinichiniNakupa home work, Toka nenda marekani kaseme mm ni shoga naomba ukimbizi alaf hapohapo toka nenda arabuni kaseme tena mm ni shoga naomba ukimbizi[emoji23][emoji23]
Sio mtazamo wako boss ni mtazamo wa maandikoHii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Mbona kama imelipuliwa kutokea kwenye banda la nguruwe.L
Itakumbukwa kwamba Putin alisema hii ni silaha ambayo haipo katika taifa lolote isipokuwa Russia, nadhan sasa yametimia
Al Jazeera English
The United States Air Force says it has conducted a successful test of a hypersonic weapon, which flew at five times the speed of sound.
The test was conducted on Saturday off the coast of Southern California when a B-52 bomber released an Air-launched Rapid Response Weapon (ARRW), the Air Force said in a statement on Monday.
View attachment 2228170
Mkuu hizi silaha ndio zina speed ya mwanga?Kaangalie laser weapons
UwongoMbona china kajaribu mwaka jana hadi wamarekani wakatetemeka kwa walichoshuhudia.
Acha mihemko... Unatatalika kama mabisi vip?Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine