Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
We ndo mpuuzi na mjinga kati ya mataifa 10 yote au dola lililo wahi kutokea duniani ambalo halikuwahi kumwaga Damu?
 
Hata Israel inakataaa hapa kwa mipango ya Mungu mwenyewe?
 
Silaha za laser Kwa sasa zipo za kuharibu uono wa MTU yaani kuharibu macho Kwa miozi mikali lakini silaha za laser za kuharibu targets Kwa mionzi mikali wanasema bado wanahangaikia kuzitengeneza
Tunazichoma hizo targets kwa mionzi[emoji23][emoji23]
 
Yaani ww uwazidi akili na maarifa wataalamu na wanasayansi wa hali ya juu wa Marekani wakati hata components of bullet theoretically hujuhi ni zipi. Jitathmini.
 
Pamoja na maelezo yako mazuuri lakini ulichokielewa ni kinyume cha uhalisia
 
Putin hana tofaut na Sadam, kuna kipind Sadam alisema atiangamiza dunia kama wakiendelea kumchokonoa, mwishowe yaliyomkuta?
Sadam alipiga calculations vibaya, alitakiwa kuwana nuclear kwanza, Putin bila nuclear angekuwa hadithi tuu
 
Kumbe ndo wanatesti alafu ya urusi inaenda mara 5 mpaka 25 ya mwanga
Mara 5 hadi 25 ya mwanga..!! Hakuna kombora kama hilo, haijatokea na haitakaa itokee mpaka mwisho wa dahari.

Do you know the speed of light..?? Light from a stationary source travels at 300,000 km/sec 186,000 miles/sec.

Nendeni darasani haya mambo hamuwezi kuyapata madrassat. Never.
 
Duuu inamaana alishazidiwa na Korea?
 
of course, wakati mwingine huwa waongo tu, hakuna success yeyote kwenye hizo silaha ila wanamrusha roho adversary aamini wako vizuri na kwasababu hili ni suala la siri sana, adui anabaki na kihoro, ni mojawapo ya silaha pia. kumtia woga adui ni mojawapo ya silaha.
 
Haki vile wewe ni shoga kabisa!
 
Wanatest leo wakati iran wanayo kitamboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…