Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
Mungu hatoki kijijini kwako mkuu.
Unaposema marekani imeua watu kumbuka wewe ndo unasema hivyo,ila kwa Mungu hasemi kwamba wamwrekani ndio wameua watu.
MUNGU atamhukumu yule aliyefanya tukio tu na sio wamarekani wote.
Kwa hiyo usidhani kwamba Mungu ni mpumbavu sana awaporomoshe wamarekani kwa juhudi zao na wananchi kulipa kodi kisa tu kuna wapumbavu wachache wanaua watu.
Usidhani kwamba Mungu anatoka kijijini kwenu kiasi kwamba wapuuzi wachache walitumia atomic bom alafu mungu akawaangamiza wamarekani wote hata ambao hhawakubariki na kuhusika na huo upuuzi ?
Mungu hatoshi shamba ya kwenu,na Mungu sio mshamba kama wewe,Mungu hana roho ya visasa.
Mungu anamuadhibu aliyefanya tukio tu na Mungu hana hasira za kupaniki na kuwatia wasiokuwemo.
Kama raisi kaingia madarakani akafanya mauaji Mungu sio mpuuzi kama wewe kiasi kwwmba aliangushe taifa zima la marekani eti kisa maamuiz ya raisi mmoja mpuuzi aliyeamua kuua watu ?
Ni sawa na mtu aseme kwqmba utawala fulani wa tqnzania wananchi walikufa,wakawekwa kwenye viroba,uchaguzi kura zinaibiwa,hakuna demokrasia why Nchi haijapigwa laana ?
Jawabu ni kuwa kuna watu wengi hawabariki mambo hayo na Hao Mungu pia anawaangalia.
Acha kuwaza huo upuuzi Kuhusu Mungu,huyo Mungu unayemdhania wewe ni Mungu wako wa maboksi na wala sio mungu huyu wa rehema na huruma.