Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Kuna kila sababu ya marekani kupotea kwenye ramani ya super power na ushawishi wake kwenye maswala ya kidiplomasia duniani ikiwa haitoweza kuipigisha Iran magoti.
Katika hii vita tumeona na kushuhudia huyu jamaa akiforce kuomba poo japo wayahudi wa kibongo wakikaza mafuvu yao , pia tumeshuhudia kuona Israel ikichapika sana kiasi cha kuficha mpaka taarifa nyeti za vifo zisionekane kwenye mitandao ya kijamii.
Ukweli ni kwamba
1: Marekani kaingia chaka kuipiga iran na mipango yake imeshafeli kiasi cha kuforce cease fire.
2: Ushawishi wa marekani duniani umeshapotea haijalishi hata kwa mataifa masikini tunaona wazi tukiingia matatani US haitoweza kutusaidia kabisa.
3: Wale washirika wake wa kiarabu teyari wameshajua Israel na Marekani haiwezi kuwasaidia na imewapa hasara kubwa sana na hakika wanajutia hilo
Nini kifanyike?
Marekani ifanye juu chini imiliki mlango bahari wa Strait of Hormuz, na ikiwa itashindwa, basi izamishe kipande cha ardhi cha ghuba ya taifa la Oman baharini ili kujitengenezea kibabe mlango bahari wake . Vinginevyo Marekani itaanguka kiuchumi.