Mmh, mkuu hebu pitia upya taarifa zako vizuri,hiyo ni pesa ndogo sana kwa Marekani ikiwa Israel tu bajeti yake kwa mwaka ni 700 trilioniMarekani anadaiwa china $ 31trillion. Kwa miaka mingi marekani inashindwa kuendesha uchumi wake bila mikopo kutoka china. Kuna tetesi china amegoma kumkopesha tena, ndo maana trump kapagawa, na vile BRICKS ndo wanakomaa na mpango wake wa de-dollarisation, uchumi unazidi kuporomoka, Irani nae amesema meli zinazopita Hormuz zinalipa kwa yuan ya china that means no more petro dollar. Washirika wake wa ulaya wanajirudi kwa mrusi, ufaransa, italy na ujerumani ndo wanaonyesha wazi wazi. Najiskia raha sana kuona mmarekani anaporomoka in my life time. Nshapata story ya kuja kuwasimulia wajukuu wangu baadae.
Tumetofautina sana kwenye vyanzo vya taarifa na namna ya kuchambua taarifa zenyewe. Nikiwa nina jambo mkononi hua naepusha aina hyo ya mijadala. Anaonekana ana mapenzi na marekani, Nyuki hawezi kumshawishi nzi kua asali ni tamu kuliko kinyesi. Sometimes its better to let go.Nilitegemea ujibu hoja zake,,kwa hoja pia.
sio trilioni Tsh, ni dola za kimalekani trilioni therathini na moja.Mmh, mkuu hebu pitia upya taarifa zako vizuri,hiyo ni pesa ndogo sana kwa Marekani ikiwa Israel tu bajeti yake kwa mwaka ni 700 trilioni
Kuna kila sababu ya marekani kupotea kwenye ramani ya super power na ushawishi wake kwenye maswala ya kidiplomasia duniani ikiwa haitoweza kuipigisha Iran magoti.
Katika hii vita tumeona na kushuhudia huyu jamaa akiforce kuomba poo japo wayahudi wa kibongo wakikaza mafuvu yao , pia tumeshuhudia kuona Israel ikichapika sana kiasi cha kuficha mpaka taarifa nyeti za vifo zisionekane kwenye mitandao ya kijamii.
Ukweli ni kwamba
1: Marekani kaingia chaka kuipiga iran na mipango yake imeshafeli kiasi cha kuforce cease fire.
2: Ushawishi wa marekani duniani umeshapotea haijalishi hata kwa mataifa masikini tunaona wazi tukiingia matatani US haitoweza kutusaidia kabisa.
3: Wale washirika wake wa kiarabu teyari wameshajua Israel na Marekani haiwezi kuwasaidia na imewapa hasara kubwa sana na hakika wanajutia hilo
Nini kifanyike?
Marekani ifanye juu chini imiliki mlango bahari wa Strait of Hormuz, na ikiwa itashindwa, basi izamishe kipande cha ardhi cha ghuba ya taifa la Oman baharini ili kujitengenezea kibabe mlango bahari wake . Vinginevyo Marekani itaanguka kiuchumi.
View attachment 3569976
HongeraNimemaliza kukunyonyesha dyudyu na kukumwagia maji ya maziwa mgando mdomoni ndiyo maana akili yako imekua mbovu mbovu kama harufu ya maziwa mgando uliyo ya meza
Mkuu mbona kunifungia mtaa kiasi hiki nimekosa nini mimi tena.Porojo baada kushiba Ubwabwa wa bei ileile kabla ya TOZO ya Iranian!!
Napinga hoja yako kwanza ulitakiwa kujua yale Mameli ya Trump ya Kijeshi yamepigiwa wapi umbali upi😬
Na kwenye hesabu yako usisaahu🫡 Meli za Kijesh zilikuwa na uwezo wa kujilinda 🤔
sasa ule umbali zimepigwa💥💥
piga na hasabu eneo la Oman jiran na Iranian🤠🤠
tena unapeleka aina ya Meli isio na ulinzi
Usingewaza kabisa!!!
uje hapo Oman tena kibabe ili
upitishe Meli zako kwa kukwepa TOZO !!
ujue umetoa Sadaka iyo Meli iwe ya mazaria 🐟ya fish.✍️
Global geopolitical aspects zote USA ameshapoteza na zimeshikiliwa na China na Urusi.Ngumu Sana kufanya hicho kitu, US ana options kadhaa za kuzidi kuvuta muda wa kukaa juu...Akifanya hivyo ndo balaa litakuwa kubwa zaidi, still US Yuko mbele Sana kwenye aspects muhimu.
Nimekuja kugundua kuwa huwa mnadanganyana sana huko msikitini!Kuna kila sababu ya marekani kupotea kwenye ramani ya super power na ushawishi wake kwenye maswala ya kidiplomasia duniani ikiwa haitoweza kuipigisha Iran magoti.
Katika hii vita tumeona na kushuhudia huyu jamaa akiforce kuomba poo japo wayahudi wa kibongo wakikaza mafuvu yao , pia tumeshuhudia kuona Israel ikichapika sana kiasi cha kuficha mpaka taarifa nyeti za vifo zisionekane kwenye mitandao ya kijamii.
Ukweli ni kwamba
1: Marekani kaingia chaka kuipiga iran na mipango yake imeshafeli kiasi cha kuforce cease fire.
2: Ushawishi wa marekani duniani umeshapotea haijalishi hata kwa mataifa masikini tunaona wazi tukiingia matatani US haitoweza kutusaidia kabisa.
3: Wale washirika wake wa kiarabu teyari wameshajua Israel na Marekani haiwezi kuwasaidia na imewapa hasara kubwa sana na hakika wanajutia hilo
Nini kifanyike?
Marekani ifanye juu chini imiliki mlango bahari wa Strait of Hormuz, na ikiwa itashindwa, basi izamishe kipande cha ardhi cha ghuba ya taifa la Oman baharini ili kujitengenezea kibabe mlango bahari wake . Vinginevyo Marekani itaanguka kiuchumi.
View attachment 3569976
Kwa mujibu wa shemeji yako au siyo?ifahamike kuwa iran ndiye aliyepata hasara zaidi
Kama hoja huna si unyamaze tu kuficha ujinga wako!?Nimekuja kugundua kuwa huwa mnadanganyana sana huko msikitini!
Nimeelewa baadaeMkuu mbona kunifungia mtaa kiasi hiki nimekosa nini mimi tena.
Sawa mkuu.Nimeelewa baadae
kile umekusudia✍️✍
Mmh, mkuu hebu pitia upya taarifa zako vizuri,hiyo ni pesa ndogo sana kwa Marekani ikiwa Israel tu bajeti yake kwa mwaka ni 700 trilioni