Marekani: Waliobadili jinsia waondolewa marufuku ya kujiunga na Jeshi iliyowekwa na Donald Trump

Hapo Penye kuwaua hapana aisee! Itafutwe adhabu nyingine hata kuwafunga jera na kuwawekea vikwazo mbalimbali lakini siyo kuwaua !
Msipende sana mambo ya kukimbilia kuua watu.
Mungu aliyewaumba kwa nini asiwaue yeye na uwezo anao?!
Tujifunze kuhurumiana na kusameheana!
Hivi tangu lini jela ilikuwa suluhisho la ujinga na uzandiki, watu wanafanya unyama wakijua ya kuwa kuna jela na kuna mawakili wa kuwatetea, wenyewe wanaitana "mteja mara nina mteja wangu ana kesi" maneno kadha wa kadha.
 
Issue siyo Joe. Hiyo ni sera ya Democratic. To let people live as they wish.

Democratic huwezi kuwaepuka kama wewe ni Mhamiaji, minority, Globalist, Kwasababu siku zote ndio watetezi wako...
Na wewe mhamiaji wanakutetea kwa sababu moja tu,to vote for them, nothing else.
 
Ndio maana TZ wanapima marinda na msumari ,kama hauna hauingii jeshini.
 
Na wewe mhamiaji wanakutetea kwa sababu moja tu,to vote for them, nothing else.
But they don't force you to vote for them or any other political party.

You can just make your own decision.

Na unaposema "nothing else" unataka hiyo else iwe nini ??
 
Issue siyo Joe. Hiyo ni sera ya Democratic. To let people live as they wish.

Democratic huwezi kuwaepuka kama wewe ni Mhamiaji, minority, Globalist, Kwasababu siku zote ndio watetezi wako.

America is the land of the free.

Ni nchi ambayo wamejaa watu waliokimbia udikteta, mauaji, vita, njaa, unyanyasaji na kutothaminiwa.

Na marekani itaendelea kuwa juu, Kwasababu inachukua watu wote wenye akili inahamishia kwao.

Elon Musk ametokea South Africa, Jeff Bezos, Cuba, Zoom founder, China etc
Poor thinker. US is fast engaged in mental slavery & intellectual colonialism; she is improvising herself by impoverishing Africa and the rest of the world.
 
Poor thinker. US is fast engaged in mental slavery & intellectual colonialism; she is impoverishing Africa and the rest of the world for her own advantage.
You can just do the same Great Thinker. What's holding you back ??
 
Joe Biden

Rais Joe Biden ameondoa marufuku iliyowekwa na Donald Trump ya kuwapiga marufuku watu waliobadili jinsia kujiunga na jeshi.

Marufuku hiyo ilitangazwa na Bw. Trump mwaka wake wa kwanza akiwa rais wa Marekani.
''Watumishi waliobadili jinsia hawatakabiliwa na uwezekano wa kuondolewa au kutengwa kwa misingi ya utambulisho wao kijinsia,'' Ilisema ikulu ya White House.

Kulikuwa na askari 8,980 mwaka 2019, kwa mujibu wa takwimu za Idara ya Ulinzi zilizochambuliwa na taasisi ya Palm Center.

''Rais Biden anaamini kuwa jinsia haipaswi kuwa kikwazo kwenye utumishi jeshini, na kuwa nguvu ya Marekani iko kwenye utofauti wa wake,'' Taarifa ya Ikulu iliongeza.

Waziri mpya wa Ulinzi Lloyd Austin, generali wa jeshi mstaafu, alisema kwenye taarifa: ''Idara itatumia sera hii kuhakikisha kuwa watu wanaojipambanua kuwa wamebadili jinsia wanapata uhalali wa kuingia na kutumikia jeshi.''

''Vikosi vya kijeshi vya Marekani vina kazi ya kutetea raia wenzetu dhidi ya maadui, wa nje na ndani.

Natumaini tutafanikisha hili vyema ikiwa tutawawakilisha raia wenzetu wote,'' aliongeza.

Bwana Trump alitangaza kupitia ukurasa wa twitter mwaka 2017 kuwa nchi hiyo ''haitakubali au kuruhusu'' kundi hilo la watu kuhudumu kwenye jeshi, akieleza ''gharama kubwa za matibabu na usumbufu''.

Mafufuku hiyo ilianza kufanya kazi mwezi Aprili mwaka 2019. Kundi la watu waliobadili jinsia ambao tayari walikuwa wakilitumikia jeshi waliruhusiwa kuendelea lakini wale waliokuwa wakitaka kujiunga walizuiwa.

Rais Biden mara kwa mara alisema kuwa alipanga kuondoa marufuku hiyo. Kabla ya kuapishwa, ujumbe kutoka kwa Ron Klain, kwa sasa ni Katibu Mkuu Kiongozi ndani ya White House, alisema Bw. Biden alipanga kutumia wiki yake yote ya kwanza ''kuboresha masuala ya usawa na kuunga mkono jumuia mbali mbali za rangi na jumuia nyingine zilizoonekana kutotendewa haki''.

Huu ni mfano wa hivi karibuni wa Bwana Biden kutumia maagizo kubatilisha sera za enzi za Trump.
Tayari amesaini maagizo ya kusimamisha ujenzi wa ukuta wa mpaka wa Mexico, kubatilisha marufuku kwa wasafiri kutoka nchi kadhaa zenye Waislamu, na kuzindua mpango wa kuboresha usawa wa rangi.
2px presentational grey line

Haki za watu waliobadili jinsia zilipigiwa upatu mapema na kampeni ya Biden. Yeye ni rais wa kwanza kuonesha kuunga mkono jamii hiyo katika hotuba yake ya ushindi.

Mwezi Novemba, baada ya ushindi wake, kisha Rais mteule Biden alihutubia jamii ya watu waliobadili jinsia, akiandika kwenye ukurasa wa twitter '' Nitawaona, nitawasikiliza, na kuwapambania si tu kwa ajili ya usalama wenu lakini pia hadhi na haki yenu mliyonyang'anywa''.

Kulikuwa na upinzani wa haraka kwa msimamo wa utawala. Siku yake ya kwanza kazini hashtag #BidenErasedWomen ilishika kasi - ingawa baadaye ilitumiwa zaidi na wafuasi wa haki za jinsia.

Rais alikuwa amepitisha amri ya "Kuzuia na Kupambana na Ubaguzi kwa misingi ya utambulisho cha jinsia", ambayo ilisema kwamba makao ya wanawake, riadha za wanawake na huduma za afya hazipaswi kuwabagua wale wanaojitambulisha kama wanawake.

Makundi ya watu wa mapenzi ya jinsia moja wamefurahia kuwa na mtu ambaye amekuwa mstari wa mbele kutetea haki zao White House.

Utawala wa Trump ulikuwa umesema kwamba marufuku - ya kuondoa sera za Rais Obama - kwa kiasi kikubwa ungehusu kuhusu fedha, sio kuhusu haki za binadamu (ingawa utafiti wa Shirika la Rand la 2016 uliowekwa na idara ya ulinzi ulisema kwamba watu wa jinsia tofauti watakuwa na "kiwango kidogo" athari "kwa gharama za huduma ya afya).
Kubadorosha njinsia maana yake nn? wametoa uume wameweke k ao?
 
Hao mapunga ndio wapigane na Warusi?

Warusi watampiga mtu wakimaliza hapo wanapaka na KY pale kwa mpalange then wanamwaga protin.
 
Mmhhhh inamaana mwanamke mme si ndio jaman🙄🙄
 
Ni ujinga sana kuingiza jeshini mashoga. Huwezi kuwa na jeshi lenye mafanikio ukiwa na mashoga wa kutosha katika jeshi.

Yani linaweza pigwa kombora kwa ghafla shoga mjeshi kwa mshtuko uharo unamwagika fasta maana rinda halifungi,sasa mpk ajifute avae pampas/diaper yake tena hapo kikosi kimeshamalizwa.
 
Hao mapunga ndio wapigane na Warusi?

Warusi watampiga mtu wakimaliza hapo wanapaka na KY pale kwa mpalange then wanamwaga protin.
Ila kuwa askari siyo lazima uende front.

Tim Cook CEO wa Apple ni shoga, lakini akiwa mwanajeshi ni Genius kwenye kitengo cha Cyberspace ( Cyberwars ) na ujasusi.
 
But they don't force you to vote for them or any other political party.

You can just make your own decisions.

Na unaposema "nothing else" unataka hiyo else iwe nini ??
They ill victimize you by playing race card, discrimination, white supremacist ..Yo,ll finally see yourself as a victim and liberals are your Messiah. So your mind will be programmed to vote for them forever...95% of blacks votes for Dems,do you think Dems wana cha maana sana wamewafanyia blacks??,No they just playing the music blacks want to hear, thats it.
 
Back
Top Bottom