Very simple, NOTING.Black people should understand one thing, they aren't special group in US kwamba everything wasaidiwe au wapewe special treatment.Kwanza wanatakiwa warudi nyuma wajitathmini,kwa nini miaka ya 60s black communitity in US walukuwa very powerfull na walikuwa na umoja kuliko sasa,sasa hivi hawana malengo,they aren't ambitious for anything,wapo wapo tu wanachezewa na wanasiasa kama condom na kutupwa.Wafanye haya
1.Wahakikishe wanaoana wao kwa wao na mwanaume awe kiongozi wa familia at any time na awepo (Sigle parent ni tatizo kubwa sana kwa blacks sasa hivi).
2.Wapeleke watoto wao shule wasome vizuri kama ilivyo kwa race nyingine,kuwe na ma Dr wakubwa kama kina Dr Ben Carson, engineers, programmers etc ,Blacks sasa hivi wanasifika kwa michezo tu na music,hii haitoshi kuwafanya wawe powerfull.
3.Watengeneze black economic powerbase, economic zones kuwa na umiliki wa blacks,anzia manufacturing industries,intertainments,big malls, pharmaceuticals.
Race zote zenye nguvu USA wana umiliki wa hivyo vitu vitatu.Leo hata ukiwapa blacks reparation of $10trillions ,within two days zitarudi kwa weupe b'se ndio wenye economic powerbase.
Hope inatosha kwa leo..