Sijawahi sikia mwanamke kubadili jinsia yake ila wote wanatoka kuwa wanaume kwenda kuwa wanawake,kwa kweli aliyezaliwa mwanaume na kuvumilia muheshimu Sana.
Watu wa dizaini hii nasikia ni wengi Sana huko Thailand
Hapo Penye kuwaua hapana aisee! Itafutwe adhabu nyingine hata kuwafunga jera na kuwawekea vikwazo mbalimbali lakini siyo kuwaua !
Msipende sana mambo ya kukimbilia kuua watu.
Mungu aliyewaumba kwa nini asiwaue yeye na uwezo anao?