Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Vita ya kiuchumi kati ya USA na China inazidi kupamba moto. Baada ya kuweka vikwazo vingi kwenye magari ya umeme (EV) kutoka China, sasa panga limekuja kwenye drones.
Federal Communication Commission (FCC) wametoa tamko kwamba unmanned aircraft systems (UAS) na components zake zote kwa matumizi yoyote ndani ya Marekani ni lazima zitengenezwe Marekani na sio kua imported. Target kubwa ikiwa ni drones na RC airplanes. Sababu yao kubwa wamesema, nawaquote:
“they present an "unacceptable risk" to national security and the safety and security of US persons”
Wote tunajua King wa drones ni DJI kutoka China, ukiniuliza unamjua nani kutoka USA anaetengeza drones najua GoPro alijaribu once akafeki vibaya sana.
Nadhani option iliopo DJI akafungue kiwanda cha drones ndani ya USA.