Marekani wamuua kamanda wa Kataib Hezbollah

Huyu Urusi unayemsema mbona kaishindwa Ukraine, kila siku Ukraine anakomboa maeneo
 
Majibu yatakuja muda sio mrefu hao sio M23 ni wazee wa kazi
 
Huyu Urusi unayemsema mbona kaishindwa Ukraine, kila siku Ukraine anakomboa maeneo

Kaishindwa Ukraine maana hao Ukraine wamewezeshwa kujilinda, hivi unajua yale ma-super hypersonic bombs ambazo amejaribu kuelekeza Ukraine huku yakipigwa chini, kama yangepiga Ukraine aisei mbona tungekua tunapaita shamba.
Mrusi hana huruma, yeye hufyatua madude bila kujali yanapiga nani au wapi, na kama ndiye angekua na changamoto ya haya mazombi wa dini pale Gaza, huu ugomvi ungeisha kitambo, anapapiga carpet bombing bila kujali bibi wala babu.
Waulize Chechnya, walikubali kukaa kwa kutulia....
 
Uwanja wa vita ina maana wewe hujui kuwa kuna senior kibao wa Israel wamekufa Gaza, vita haibagui, sijui huko mbinguni hao wanajeshi wa Israel ndio wanasubiri kufungua bendi waanze kuimba

Wenzake hujitoa mhanga wakawahi mabikira, huyu sijui kashindwaje.
 
Waisrael wanawahi nini wakifyekwa kule Gaza?

Waisraeli sasa hivi wamefyeka hadi napata ukakasi, namba zinakaribia kusoma 30,000 wote hao wanawahishwa kwa mabikira.
Kichapo cha Rafah kimeanza.
 
Waisraeli sasa hivi wamefyeka hadi napata ukakasi, namba zinakaribia kusoma 30,000 wote hao wanawahishwa kwa mabikira.
Kichapo cha Rafah kimeanza.
Achana na data fake wazungu wenyewe wanakwambia hata nusu ya wana mgambo hawajakufa, labda kama unafurahia kuuliwa watoto na wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…