Marekani: Watu 22 wauawa, zaidi ya 50 wajeruhiwa katika mashambulizi ya risasi

Marekani: Watu 22 wauawa, zaidi ya 50 wajeruhiwa katika mashambulizi ya risasi

Atakwambia Hamas hao wameondoka palestina wamepita hewani bila ya kuonekana hadi marekani. Bbc swahili kesho itaripoti hivyo ktk page yake.
Nakosea wadau?
lin waliwahusisha waarabu kweny mambo yao ? km sio nyiny kila jambo mnataka wahusisha magharibi , mara hamas wameundwa na marekan na israel wkt wakishambulia mnafurahia
 
Mashambulizi ya risasi yaliyotokea maeneo tofauti katika Kitongoji cha Lewiston kwenye Mji wa Maine yamesababisha watu 22 kuuawa na wengine kati ya 50 hadi 60 kujeruhiwa.

Polisi wa Lewiston wamesema wanamshuku mhusika mkuu katika tukio hilo ni Robert Card (40) na kuwa ni mtu hatari ambapo wamechapisha picha yake mtandaoni akionekana ameshika bunduki akifyatua risasi na kusisitiza watu wakae ndani kwa usalama wao kwa kuwa mtuhumiwa anaendelea kutafutwa.

Rais wa Marekani, Joe Biden amezungumza kwa njia ya simu na Wabunge kadhaa pamoja na Gavana wa Maine akiahidi kutoa msaada wa Serikali kutokana na tukio hilo ambapo sababu za kuibuka shambulizi hilo hazijajulikana.

=================

At least 22 killed, dozens wounded in Lewiston, Maine shootings – NBC

At least 22 people were killed and 50 to 60 wounded on Wednesday in mass shootings at multiple locations including a bowling alley and a bar in Lewiston, Maine, NBC News reported, citing a Lewiston police source.

The Lewiston Police Department on Facebook identified a person of interest in the mass shooting at the bar and bowling alley as Robert Card, 40, saying he should be "considered armed and dangerous."

Police earlier posted three photographs of an unidentified suspect pointing what appeared to be a semi-automatic rifle, in addition to a picture of a white SUV, asking the public for help in identifying either.

The Androscoggin County Sheriff's Office also posted pictures of the suspect, a bearded man in a brown hoodie jacket and jeans holding a rifle in the firing position.

"There is an active shooter in Lewiston," Maine state police said previously on the social media platform X. "We ask people to shelter in place. Please stay inside your home with the doors locked. Law enforcement is currently investigating at multiple locations."

The Sun Journal, citing a Lewiston police spokesperson, reported shootings at three separate businesses: the Sparetime Recreation bowling alley, Schemengees Bar & Grille Restaurant, and a Walmart distribution center.

The bowling alley is about four miles (6.5 km) north of the bar, and the distribution center is about a mile and a half (2.5 km) south of the bar.

The Central Maine Medical Center in Lewiston issued a statement saying it was "reacting to a mass casualty, mass shooter event" and coordinating with area hospitals to take patients.

Source: Reuters
Waseme ukweli, ni gaidi huyo anaiunga mkono Palestina. Wanaficha nini?

Juzi kuna watu wasiojulikana wameshasema, Marekani yeyote ni shabaha yao na chpchote cha Mmarekani ni halali yao mpaka abadili siasa za ubaguzi wa Kimataifa.

Hayo matukio tuyaangalizie dunia nzima.

Tanzania hapa alishwahi kutumika mchaga kuunda gari la kuripuwa ubalozi wa Marekani. Tujichunge sana na tamaa .
 
Huyu kwa kuwa ni mzungu hutosikia akiitwa gaidi. Angekuwa Mwarabu au Muislam ungesikia kasheshe lake
sio kila muuaji ni gaidi , wapo wazungu wengi wameshitakiw kwa kesi za ugaidi , wazungu sio wanafiki kama waarab , kisa hamas ni waislam bas waarab hawawez laani mauaji yanayofanywa na hamas , wazungu ukiwa muuaji hata kama kiongoz wa serikalin bas utashitakiwa tu
 
Si haba mbona hawajasema gaidi kafamya tukio au gaidi mpaka abatizwe na Marekani.
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Tuambie sasa kwann tumuite huyo mtu gaidi
 
Marekani Ni nchi ya magaidi na wahuni,cheki Kama huyu akaua watu bure. Yyaani Hawa Wana vikundi vyao vya kigaidi.
Mfano Akon anasema wakati Kenya inavamiwa na alshabab kule Westgate like tukio moja lilisambaa kinyama duniani na kila website Ila kwa USA mwaka huo huo yalitokea events Kama hizo zaidi ya 5000 sema haikutangazwa hata moja. Wao wanadhibiti habari gani isikike huku nje wanahubiriwa kuwa Wana demokrasia
 
Inasikitisha sana, na pole yao sana wahanga wote...
 
sio kila muuaji ni gaidi , wapo wazungu wengi wameshitakiw kwa kesi za ugaidi , wazungu sio wanafiki kama waarab , kisa hamas ni waislam bas waarab hawawez laani mauaji yanayofanywa na hamas , wazungu ukiwa muuaji hata kama kiongoz wa serikalin bas utashitakiwa tu
Ina maana nchi za kiarabu wanaoua hawashtakiwi?
 
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Tuambie sasa kwann tumuite huyo mtu gai
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Tuambie sasa kwann tumuite huyo mtu gaidi
Hii tafsiri ya ugaidi ni fikra zako kuna magaidi wengi tu hawana uhusiano wowote wa kiasiasa…

US, Ulaya wao wanasera zao wanaweza leo wakakuita gaidi kesho wakakutoa ukawa siyo gaidi sijui kama unalijua hilo

The U.S. Government Had Nelson Mandela on Terrorist Watch Lists Until 2008. Here's Why​

 
Back
Top Bottom