Marekani: Watu 22 wauawa, zaidi ya 50 wajeruhiwa katika mashambulizi ya risasi

Atakwambia Hamas hao wameondoka palestina wamepita hewani bila ya kuonekana hadi marekani. Bbc swahili kesho itaripoti hivyo ktk page yake.
Nakosea wadau?
lin waliwahusisha waarabu kweny mambo yao ? km sio nyiny kila jambo mnataka wahusisha magharibi , mara hamas wameundwa na marekan na israel wkt wakishambulia mnafurahia
 
Waseme ukweli, ni gaidi huyo anaiunga mkono Palestina. Wanaficha nini?

Juzi kuna watu wasiojulikana wameshasema, Marekani yeyote ni shabaha yao na chpchote cha Mmarekani ni halali yao mpaka abadili siasa za ubaguzi wa Kimataifa.

Hayo matukio tuyaangalizie dunia nzima.

Tanzania hapa alishwahi kutumika mchaga kuunda gari la kuripuwa ubalozi wa Marekani. Tujichunge sana na tamaa .
 
Huyu kwa kuwa ni mzungu hutosikia akiitwa gaidi. Angekuwa Mwarabu au Muislam ungesikia kasheshe lake
sio kila muuaji ni gaidi , wapo wazungu wengi wameshitakiw kwa kesi za ugaidi , wazungu sio wanafiki kama waarab , kisa hamas ni waislam bas waarab hawawez laani mauaji yanayofanywa na hamas , wazungu ukiwa muuaji hata kama kiongoz wa serikalin bas utashitakiwa tu
 
Si haba mbona hawajasema gaidi kafamya tukio au gaidi mpaka abatizwe na Marekani.
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Tuambie sasa kwann tumuite huyo mtu gaidi
 
Marekani Ni nchi ya magaidi na wahuni,cheki Kama huyu akaua watu bure. Yyaani Hawa Wana vikundi vyao vya kigaidi.
Mfano Akon anasema wakati Kenya inavamiwa na alshabab kule Westgate like tukio moja lilisambaa kinyama duniani na kila website Ila kwa USA mwaka huo huo yalitokea events Kama hizo zaidi ya 5000 sema haikutangazwa hata moja. Wao wanadhibiti habari gani isikike huku nje wanahubiriwa kuwa Wana demokrasia
 
Inasikitisha sana, na pole yao sana wahanga wote...
 
Ina maana nchi za kiarabu wanaoua hawashtakiwi?
 
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Tuambie sasa kwann tumuite huyo mtu gai
Ugaidi ni hasa mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Tuambie sasa kwann tumuite huyo mtu gaidi
Hii tafsiri ya ugaidi ni fikra zako kuna magaidi wengi tu hawana uhusiano wowote wa kiasiasa…

US, Ulaya wao wanasera zao wanaweza leo wakakuita gaidi kesho wakakutoa ukawa siyo gaidi sijui kama unalijua hilo

The U.S. Government Had Nelson Mandela on Terrorist Watch Lists Until 2008. Here's Why​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…