Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

Tatizo hadithi yako uliyotunga imekosa ufanisi
Nitasoma andiko lako lenye ufanisi kuhusu hii mada kama utapata nafasi ya kuandika.

Na nitarekebisha iko unachoita "hadithi" kama kipo. Nitaleta ushahidi ukitaka na wewe kwenye kukosoa weka ushahidi. Ni fair game. Challenge accepted 👍
 
Aisee! Unajua umetushitua?
Ukisikia fahari wawili wapiganapo nyasi huumia ndiyo vita ya US na China!
Maana Russia,North Korea,Iran zitaingia kati kui support China,huku baadhi ya nchi za NATO zitaingia upande wa US kuipa tough!
Kuna usalama wa dunia hapo?
Huku kwetu Afrika tutajifia kwa njaa tu!
Mkuu hiyo ni Cold War tu!
 
😀😀😀 sawa mkuu. Nmekuelewa. Ila muhimu tuendelee kufuatilia kwa karibu.
 
Jf Imevamiwa na Wapuuzi
Saivi kila Mmoja Mjuaji
Sio comment mbaya. Ikiwa kila aloandika alilenga matakwa yako jua hakuna kipya. Kitu kinachotufanya kua binadam kamili ni pamoja na kua na fikra na mawazo mbadala na tofauti. Na hata andiko lako naweza kuliona la ajab lakini siez sema eti unajikuta mjuaji au mpuuzi hapana. Nitaangalia kipi kinanifaa kipi nitafiti na kipi nidadisi. Hata hivyo karibu sana
 
Mtoa mada tafuta kazi ya kufanya uchambuzi huwezi
 
Watalaban walikua wanatawala Afghanistan.baadae USA na NATO wakapeleka majeshi.
Wakapaigana na watalaban Kwa miaka 20,baadae wamarekani na NATO wakakimbia,Leo hii watalaban wanatawala Afghanistan.
Hao navy seal walikua wapi?
 
Anyway tuko chap ku jump kwenye conclusion ndio maana. Lakini kuhusu kuchambua, niache au nianze sijui kipi ni sahihi. Labda uko sahihi kama binadamu una uhuru wa mawazo, fikra na maoni.
 
Watalaban walikua wanatawala Afghanistan.baadae USA na NATO wakapeleka majeshi.
Wakapaigana na watalaban Kwa miaka 20,baadae wamarekani na NATO wakakimbia,Leo hii watalaban wanatawala Afghanistan.
Hao navy seal walikua wapi?
Nmeandika kuhusu Navy SEALs kufanya Operation maalumu kulinda tu miundombinu muhimu pale ikitokea uvamizi na nyongeza ni kuandaa mazingira kwa wanajeshi wa vikosi vingine.

Pili, niliandika kifupi tu kuhusu hayo mazoezi. Wanafanya hivyo kutokana na kile walichojifunza Afghanistani na kundi la kwanza wamefanya mazoezi katika eneo moja tu la msutuni. Ila China ina maeneo mengi ambayo jeshi la Marekani lazima wafanyie kazi.

Kwa hio, kumbuka sijasema kua China keshapigwa(kama ulivyofanya rejea yako kwa Afghanistan).
 
Huyo USA anajua balaa la China kwenye Korean war.
USA haiwezi kupigana na China na HAINA UBAVU WA KUIPIGA CHINA.
 
Huna hoja zaidi ya viroja ulivo andika hapa mzee na upunguze mahaba yaani wanajeshi 800+ ndo wakapigane vita na nchi yenye jeshi la watu zaidi ya 2M+
 
Tz tunaushabiki wa vita asee, tena tuna chagua na upande wetu kabsaa kuwashangulia .
 
Mnamkosea mtoa mada kwa matusi yasiyo na ulazima ameandika vizuri ingawa sio hakika sasa unamtukana kwa kosa gani na Ww si uandike unachojua kuhusu huu ugomvi wa China na marekani juu ya Taiwan
China na marekani wanapigana wapi!?..acha kutetea ujinga,siyo facebook hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…