Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

Huna hoja zaidi ya viroja ulivo andika hapa mzee na upunguze mahaba yaani wanajeshi 800+ ndo wakapigane vita na nchi yenye jeshi la watu zaidi ya 2M+
Mimi natambua ukongwe wako hapa lakini sasa. 894 hii nmesema ni wanajeshi wa ardhini wanahitaji mazoezi ya ziada kulingana na situation.

Nilisema kuna US Marine wako ready idadi yao ni zaidi ya 180,000 na US Pacific Command (Indo-Pacific Command) ina wanajeshi zaidi ya 350,000. Mbona hujasemea hilo!?

Hata kama sio idadi yote hapo itaingia vitani basi ungekumbuka kwamba ukijumlisha zaidi US Marines na Indo-Pacific command wapata zaidi ya 500,000. Ila sasa hoja ya 800+ kaka sio ya kushikilia labda kama hukusoma hadi mwisho
 
China atanyooshwa tu
 
Sidhani kama China kama atakubali atatengeneza mazingira ya kuingia vitani na mataifa ya Magharibi. China kwa sasa, mtazamo wake upo kwenye kujenga uchumi. Bila Ulaya na America, uchumi wa China kwa heri.

Ufahamu kuwa Ulaya na America wamewekeza heavily in China. Makampuni ya Ulaya na America yaliyipo China, leo hii yakifunga na kuondoka, au Ulaya na America wakafunga soko lao, uchumi wa China utachechemea kwa namna ya ajabu. Soko la Afrika ni dogo sana katika thamani.
 
Marekani anavyopenda vita kuliko kula..hata umwamshe usiku yeyupo tayarikuzichapa mda woote...USA
Chapa hao vimba macho tukose pakukimbilia
 
Trump alikua na changamoto kubwa na China. Trump hataburiki lakini kwa sababu ni swala la usalama wa faifa, yeyote atayeshinda ni ngumu kuzuia vita na China endapo mambo yataendelea hivi hivi.
USA hawezi pigana na china ataendelea kupigana na vikundi vya kigaidi lkn sio apigane na watu wenye uwezo wa kila aina ktk uwanja wa vita
 
Unajua huu ni mjadala ,na Mimi nimetoa maoni yangu,kua Navy seal wa USA ktk maandishi ni tofauti na navy seal wa kwenye uwanja wa vita
 
Mleta mada hujakosea umenena ukweli mtupu.
China leo hii nayo imesambaza aircraft carrier zake kubwa tatu na frigates ukanda wote wa SOUTH CHINA SEA ili kupambana na tishio la USA.
Japo hatujajua hili litaelekea hadi wapi.
Wacha tuone je will it cause a full scale war or just imposing threats!?
 
Y
Our so intelligence bro,unajua jinsi ya kudeal na illiterate people,keep it up.
 
Ye
Naam China anajaribu sana kuzuia vita ila sasa siaza za kikanda na kidunia zinasukuma mataifa mengi kuingia vitani.
 
Naam, ni swala la kuangalia namna gan mambo haya yatafikia ukomo
 
Unajua huu ni mjadala ,na Mimi nimetoa maoni yangu,kua Navy seal wa USA ktk maandishi ni tofauti na navy seal wa kwenye uwanja wa vita
Anhaa katika aspect sawa. Nmekuelewa vyema. Hoja ya Seal Makaratasi na Seal Uhalisia kuna utofauti kubwa.
 
😂😂 hata hivyo vita za sasa ni ngumu ila wakipigana na sisi tutapigana kwa njia isiyo ya moja kwa moja. Tujihadhari.
 
USA hawezi pigana na china ataendelea kupigana na vikundi vya kigaidi lkn sio apigane na watu wenye uwezo wa kila aina ktk uwanja wa vita
Naam, katika miaka ya karibuni Marekani amekua hapendi vita na mataifa hasa ya Asia kwaajili ya kile ambacho alipitia Vietman labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…