Marekani yaanza kujibabadua kutoka ubashiri wa michezo (Betting).Athari zake zinaharibu uchumi na kutesa watu

Kitu kilichoharamishwa na Mungu ni lazima kinakua na madhara ndani yake,

Betting ni ugonjwa wa akili,kuacha inahitaji matibabu,

Betting haifai but the rest it's up to you.
 
Mkuu upo sawa kabisa kuna sehemu nilisoma kuwa urusi hizi kamari zinasimamiwa na kumilikiwa na serikali yenyewe
Ata China siamini kama wanaruhusu kile wachina wanachokifanya hapa nchini kwetu.
 
Nchi masikini wakiiga kitu hawajui kukiacha hata kilete madhara aina gani
Tumeona mengi sana na mengi yanakuja
Betting ndio vijana wameona zitawatoa kimaisha ila wanajidanganya na kuzidi kuwa mazombi
 
Uku kwetu kuna baadhi y watu wamefanya ndo ajira
 
Uku kwetu kuna baadhi y watu wamefanya ndo ajira
Tena wanazitolea mpaka matangazo ili watu wazidi kuwafuatilia.Mafulana na mabango mpaka barabara kuu.
Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…