Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Hivi wakorea hawanaga mambo mengine ya kufanya zaidi ya Nuclear..??!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaharibu amani ya dunia. Ila malofa kama nyinyi mliokaa kishabiki hamuwezi kuelewa. Go US!
Anaharibu vipi amani ya dunia??Anaharibu amani ya dunia. Ila malofa kama nyinyi mliokaa kishabiki hamuwezi kuelewa. Go US!
mmarekani mshenzi hatakagi vita itokee kwake yaani anaenda kufanyia hayo mazoezi ya kijeshi south korea hafanyii kwake.Kama US hawamwogopi NK, kwa nini wasijifanye wamekosea wakapitisha hizo ndege katika anga la NK?
Hata kwa tathmini ya haraka kabisa utajua anayeweweseka zaidi katika mgogoro huu ni US.
KIM akirusha DUDE moja tu, matokeo yake ni:-
(1)US wanachanganyikiwa.
(2)Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wanahaha.
(3)JAPAN wanalala kwenye mahandaki.
(4)SK wanachuchumaa. NB:-Mpaka sasa mazoezi yanayoendelea SK ni ishara tosha kwamba KIM anawaendesha NK na US, yeye mwenyewe akiwa ametulia kimya hana papara anaangalia tu jinsi anavyowahenyesha MAZUZU.
Kwa kifupi huyo ndiye KIM JONG UN, the Panky man.
hawa ni wale mzungu akimwambia huyo ni mbuzi hata kama ni kondoo basi anakubali kisa mzungu amemwambiaSasa Mmarekani ana uzuri gani unaposema kuwa kim ni dikteta au na ww umevurugwa mr dudus
Marekani ni jogoo wa dunia ni lazima asimamie amani ya ulimwengu.Amani ya dunia haiwezi kusimamiwa na Waarabu au Korea Kaskazini.Korea yenyewe ni ndogo kama wilaya ya Bagamoyo, katibu kata wa Tanzania akienda huko Korea nina imani atakuwa raisi bora kuliko huyu mvuta bange ambae anataka kuangamiza watu wake.Sasa Mmarekani ana uzuri gani unaposema kuwa kim ni dikteta au na ww umevurugwa mr dudus
WanayoHivi wakorea hawanaga mambo mengine ya kufanya zaidi ya Nuclear..??!!
Mbona kila saa nuclear nuclearWanayo
kwangu mimi nasali usiku na mchana Kim aendelee kuporomosha makombora yake. Siwezi kuwaombea wamarekani na washirika wake kwa sababu ni wanafiki na hao ndo chanzo cha machafuko katika uso wa dunia hii. Longlive Kim Maste of the JungleHii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
kwangu mimi nasali usiku na mchana Kim aendelee kuporomosha makombora yake. Siwezi kuwaombea wamarekani na washirika wake kwa sababu ni wanafiki na hao ndo chanzo cha machafuko katika uso wa dunia hii. Longlive Kim Master of the JungleHii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
kwako wewe marekani anajenga amani ya dunia.kweli tunatofautiana kimtazamoAnaharibu amani ya dunia. Ila malofa kama nyinyi mliokaa kishabiki hamuwezi kuelewa. Go US!
endelea kuhisiNahisi,USA,wanaweza kumchukuwa Kim peke yake Na huo kuwa mwisho Wa vita hiyo Na Maneno.
Huo ujogoo wa dunia marekani alipewa na nani? waendelee kutawala kwingine ila pale NK ni mziki mwingineMarekani ni jogoo wa dunia ni lazima asimamie amani ya ulimwengu.Amani ya dunia haiwezi kusimamiwa na Waarabu au Korea Kaskazini.Korea yenyewe ni ndogo kama wilaya ya Bagamoyo, katibu kata wa Tanzania akienda huko Korea nina imani atakuwa raisi bora kuliko huyu mvuta bange ambae anataka kuangamiza watu wake.