Tetesi: Marekani yafanya mazoezi Korea kusini hali ya wasiwasi imetanda

Tetesi: Marekani yafanya mazoezi Korea kusini hali ya wasiwasi imetanda

Mbona kila saa nuclear nuclear
Wapo vzr kiuchumi hata viwanda vipo vya kutosha sio kama hapa bongo mpaka mtu atoke marekani kuja kuwekeza [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
Hata Libya waliambiwa hivyo hivyo.
 
Hii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
Hili swala sio lakuombea litoke mazara ya vita yatahasili dunia kwa kiasi kikubwa sana, asa sie weye kinchi kisichoweza ata kupiga atua mbili bira mikopo
 
kiduku.... atakuja kufanywa kitu mbaya saana hatoamin.... dadek.

anajiachia na mikwara mingi..... madon wanamsoma tu.
 
Nataman kiduku ashushe hydrogen kama nne hivi us ilo washike adabu, maana wameiharibi africa sana
 
Nataman kiduku ashushe hydrogen kama nne hivi us ilo washike adabu, maana wameiharibi africa sana
Dah kweli ili tupate vikimbizi vya kiamerika 2vipe mimba vikirudi kwao viadisiane sipendagi ujinga
 
Hii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
Marekani wana aina zaidi ya 800 ya makombora ya nyuklia na Noth Korea wana aina around 10 za hayo makombora. Ikiwa una akili timamu jiulize.. Marekani wanamuogopa nani mpaka wawe na silaha zote hizo na wengine wapo salama kiasi gani mpaka wasiruhusiwe kuwa na hizo silaha ikiwa wote tupo ktk dunia moja.. au je., kuna binadamu aliye juu ya binadamu mwingine? Kila mtu ajiamulie mambo yake kimpango wake ilimradi asimwingilie mwingine. Kusiwe na ushabiki wa kushabikia tu mambo bila kujua kiini chake na kuambiana nini cha kufikiri badala ya namna ya kufikiri.
UKWELI UTAWALE
 
Hii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
Mimi namuombea n Korea ashinde wewe muombe huyo lofa muhaji TENA mungu MJALIE n Korea ashinde
 
Huyo anaemuombea USA amezoea kuonewa kuongozwa kupangiwa dikteta DUNIA mzima anajulika ni USA kama huna macho hatakusikia husikii namuomba mungu apigwe USA na Kim pamoja na wewe ikiwa karibu na hao wauwaji USA
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

sultanseifu ,

Mkuu,
Mtu anasema Kim Jong-Un katili mara dikiteta wakati hata sura ya Kim Jong-Un hajawahi kuiona wala hajawahi kumuona Kim Jong-Un anamfanyia RAIA wa North Korea ukatili wowote ule.

Huwa nashindwa kuelewa jambo Kama hilo huyo analitoa Wapi!?

Zaidi, utasikia Kim Jong-Un na North Korea wanatengeneza nukes.
Wakati uo huo nchi izo hizo zinazopinga wengine wao wana silaha mfano, USA, France, Japan, India na Russia , China na Israel wanazo silaha za nukes za kuijaza hii dunia yote zikipangwa ardhini.

Kwanini North Korea, Tanzania, Iran wasipate silaha kama hizo!?
Je wao hawana akili za kutengeneza na kuzitunza hata kuzitumia!?

Any way, kuna watu wakisikia USA wanapagawa bila hata kujitathimini kuhusu uonevu, uovu, uuaji na ugaidi wa USA kwa nchi zingine.

I stand with, Kim Jong-Un and North Korea.
 
Hii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
Enzi hizo wanakuja wadhungu africa unawashobokea wanakufanya katumwa kao sasahivi kila m2 apambane na hali yake kama mimi natengeneza nukes na wewe tengeneza zako.
by😡sultanseifu team pyongyang.
 
Kim jong sio mtu mzuri anawezamka akaangamiza dunia sababu ya ukatili na ujeuri alionao.
 
Marekani ni jogoo wa dunia ni lazima asimamie amani ya ulimwengu.Amani ya dunia haiwezi kusimamiwa na Waarabu au Korea Kaskazini.Korea yenyewe ni ndogo kama wilaya ya Bagamoyo, katibu kata wa Tanzania akienda huko Korea nina imani atakuwa raisi bora kuliko huyu mvuta bange ambae anataka kuangamiza watu wake.
Acha bangi mkuu sio nzuri kwa afya yakp
 
Marekani wanapenda vita hapa duniani, nawao wanajiona bora kuliko watu wamataifa mengine,wao ndiyo waliotumia bomu la maangamizi duniani, walilitumia kuipiga Japan,wapi north korea waliwahi tumia?uhalali wa Marekani kumiliki silaha nzito kuliko mataifa mengine unatoka wapi?
 
Hii imekaa vizuri mno. Kim must go; wakorea waondokane na dikteta na dunia iwe mahali salama zaidi pa kuishi. Sote tuiombee Marekani na washirika wake dhidi ya dikteta katili Kim.
Kwani north korea wamewahi kukuchokonoa huko nyuma?
 
Back
Top Bottom