Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

Uchumi wa Russia umeporomoka sana, Tena sana
 
KKwel
Dunia inajifunza mengi sana kupitia huu mgogoro, miaka michache ijayo Urusi na China wanaweza kuwa mbadala wa vitu vingi sana hapa duniani badala ya Marekani.
Kweli kabisa as the saying goes mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguka.
 
Uchumi wa Russia umeporomoka sana, Tena sana
Kipimo cha kitaalamu hutumia kigezo cha thamani ya pesa ya nchi husika! Maana ndio dira ya uchumi wa nchi. Kabla ya vita dola 1=ruble 82, lakini sasa dola 1=ruble 55!! Haihitaji kwenda shule kujua ni nani anapanda na ni nani anaporomoka!
 
Putin asipo kuwa eliminated basi nisimalize kuandika.
 
Unataka kuniambia Ujasus wa FBI ni wa kijinga kiasi hiki?

Fikiri vema mkuu, huwezi sema akili za hao mabepari yalilenga kuumiza wafanya biashara wa nchini mwake!!

Kuna nyundo imemwangukia kichwani Putin
 


Hapo Urusi atakuwa amepewa hela na sababu ya kutokulipa madeni kiulaini sana.

Ukiangalia, itakuja kuwaumiza wao Marekani na wakopeshaji tu pale Urusi itakaposema hela zipo ila tafuteni njia ya kuzipokea, wakopeshaji wataishia kuikaba Marekani kuondoa huo ujinga wake.

To be honest, I love how Putin has remained consistent, hatishii, jamaa ana maneno machache ila vitendo kwa 100%.

Go Putin.
 
Kwahiyo hayo wasiyajue wataalamu wa uchumi wa Marekani.
 
Ukionekana huwezi lipa bond sahau investors
 
Kuna kanchi kanakwenda kuwa tajiri soon kupitia huu mwanya! Hamna atakaye kubali asilipwe wakati mlipaji yuko tayari Kulipa! Nauona ugomvi wa mshawishi na walipwaji!
Dunia inahama misimu tuliyozoea kuishi hili limeshaanza kutokea!
Mipango ya MUNGU siyo mawazo yetu!
 
Mnajadili haya wala hamna habari na mikopo ambayo inachukulia na Bi mkubwa. Zingatieni ushauri wa Adunje Ndugayi.
 
Kwahiyo hayo wasiyajue wataalamu wa uchumi wa Marekani.
Mbona walishindwa kujua ya kwamba vikwazo dhidi ya Urusi vingeshababisha mfumko mkubwa wa bei duniani badala yake wamekuja kushutuka badae wakiwa wamesha viweka ,mpaka vingine wakarazimika kuvitoa baada ya hali kuwa mbaya?
 
Mbona walishindwa kujua ya kwamba vikwazo dhidi ya Urusi vingeshababisha mfumko mkubwa wa bei duniani badala yake wamekuja kushutuka badae wakiwa wamesha viweka ,mpaka vingine wakarazimika kuvitoa baada ya hali kuwa mbaya?
Hayo yote waliyajua na walishajua hayataepukika mpaka malengo yao yatimie.
 
Duh, unawaza kinyumenyume sana, sasa kila nchi, kila mtu anaihitaji dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…